ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #21
Hay wanajamvi wenzangu msishtushwe na habari hii
Kwa habari nilizopata kwa mwenyewe leo hii ni kwamba Ndugu yetu Mentol anajisikia vibaya kwani anaumwa Malaria
na imebana zaidi ya juma zima lililopita alikuwa yu mgonjwa. Hivyo wanajamvi wenzangu tumkumbuke ndugu yetu katika maombi, Mungu amponye ili aweze kuendelea na shughuli nakazi kama kawaida.
nami namtakia apone haraka na Mungu aponye na kurudi katika gurudumu la kuendeleza Taifa letu
pokea kazawaidi haka kakuashiria upendo kwako, uwe unakunywa juice kila wakati best
getwellView attachment 82805
uwe unakula hata matunda hata kama unaona hakuna radha mdomoni
na angalia kadi za upendo pindi ujisikiapo uko oky
copy: gfsonwin (unangojewa kwa hamu kwake) Erickb52, Mr. rocky, Mtambuzi, Nicas Mtei, charminglady, Ruttashobolwa, Bakulutu, Madame B, Smile, Chimbuvu, Baba V, mamamia, Donn, nivea n.k
Hujambo swthrty wangu?????
asante kwa kunielewa vyema mtakie heri ya uponyaji mwenzio best
Nina wasiwasi ya uhusiano uliopo kati ya Mentor na ladyfurahia salimianeni wote na mget well sooon
monomao Mentor nkiki lanye pole sana nikivuka leo ntakuja kukusabahi hapo kwako.
umeamishia majeshi huku
cc: Amyner
Umeeleweka zamani mbona! Na nshamuombea huyu ni my x shem, then ninamuheshimu kwa "A"grade!
unamaanisha nini unaposema "x shem" na kumpa heshima ya "A" grade kivipi? ndg
Get well soon Mentor! Mimi na akanana wangu passion lady tunakuombea kwa mungu upone mapema!