Hapa naona tunajulishwa uhusiano uliopo kati ya Mentor na ladyfurahia na wala sio khabari ya ugonjwaEeeh??
dada we mtata...ushabadili...i thot ulikuwaga na Ruttashobolwa!??
Shem shem shem..mbona hizi habari mpya sina? lini mlitalikiana na beibe nasty?
Mhh...kitewo nyi iyo!!!
Nataka foil za kwa mwingira...unavuka mida gani vile?? (PM me huo muda nikungojee feri kabisa...!)
Shem umeniuliza kua habari ya mimi na Natsy ni mpya! Nadhani kwa bahati mbaya Thrade za data hizo zilikupita, hizo habari ni kweli na in goodwill hatukutengana becouse of quarrel or conflicts!My dearest mpendwa katika Bwana ladyfurahia nashukuru sana...zaidi sana kwa kuwepo nami hapa kuniuguza na kuvumilia usumbufu wangu...
To all others, nashukuru for your well wishes...najisikia
Shem umeniuliza kua habari ya mimi na Natsy ni mpya! Nadhani kwa bahati mbaya Thrade za data hizo zilikupita, hizo habari ni kweli na in goodwill hatukutengana becouse of quarrel or conflicts!
Ni kufuatia majukumu ya kila mmoja kumfanya kua mbali na mwenzawake ndy tukafikia hivyo kwa nia njema.
Nway refar ushemeji haufagi always will be sustainable.
Ubunifu wa valentine...ndo inakaribiaHapa naona tunajulishwa uhusiano uliopo kati ya Mentor na ladyfurahia na wala sio khabari ya ugonjwa
Shem umeniuliza kua habari ya mimi na Natsy ni mpya! Nadhani kwa bahati mbaya Thrade za data hizo zilikupita, hizo habari ni kweli na in goodwill hatukutengana becouse of quarrel or conflicts!My dearest mpendwa katika Bwana ladyfurahia nashukuru sana...zaidi sana kwa kuwepo nami hapa kuniuguza na kuvumilia usumbufu wangu...
To all others, nashukuru for your well wishes...najisikia
Huo umbea sasa! !!Mweh! [MENTION=12u209]Mentor[/MENTION] bado kupona?....... get well soon dear
Usijali kaka Mungu akulinde ....upone!!
haiye mbee Mentor.
supusupu na kisusio kinapanda nikuletee mkuu si unajua dawa bila lishe ni sumu.
Pole sana mkuu ni kaupepo tu katapita kwa kudra za Mnyaazi Mungu