Jamani Ndugu yetu MENTOL anaumwa tumkumbe katika maombi

Hivi shem FP nani ana husika kukuficha? Miss you!

mimi nampenda sana rafiki yangu Erickb52 .....
mtu kama huyu uzee atausikia kwa jirani tu..... keep it up my dear.....
back to the topic..
Get well soon mpendwa Mentor, Mungu akuponye haraka.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mgonjwa. Chunga sana hizo juice na matunda unavyoletewa, kwanza ufahamu kuwa vyenyewe si dawa, na wengine wamechukua fursa hiyo kupenyeza limbwata kwako
 
Hahaha kaka Jiwe Linaloishi vinapita mangi ebu fanya mpango.
Pitia kwa kaka Mtambuzi akupe na dompo uniletee.

duh kweli mgonjwa wewe kiboko.... mpaka dompo!!!.. nakuletea whsky ya Govinda Kumar ile inatoa wadudu wote hata wale ambao si wa maleria.

nichoree ramani sasa tuone kisusio, kitawa na mlaso vinakufikiaje
 
sasa wewe nivea kinakuuma nini mm kuwa na Mentor ni kweli Mentor anaumwa na sasa yuko nafuu na inawezekana leo akaenda job, naomba usiwe na moyo huo ndugu yangu kwani hupendi tuwe pamoja, basi tunakukaribisha kwetu ukivuka pantoni tupigie au mpigie mentor kama unaona mm naku..........? (utajaza hapo)
Hapa naona tunajulishwa uhusiano uliopo kati ya Mentor na ladyfurahia na wala sio khabari ya ugonjwa
 
Last edited by a moderator:
acha kuingilia mapenzi ya watu wewe kwani useme hivyo wakati gfsonwin ni dada yake na mimi ni mkewe kinawauma nini nyie jamani
Pole sana mgonjwa. Chunga sana hizo juice na matunda unavyoletewa, kwanza ufahamu kuwa vyenyewe si dawa, na wengine wamechukua fursa hiyo kupenyeza limbwata kwako
 
Last edited by a moderator:
hapo nimekuelewa kabisa,
sina mshtuko wowote ni wasiwasi wako tu ndugu, don't worry
I mean i was in couple with her sister!
Btw couple hiyo haipo active tena kwa sababu maalumu za kimsingi, ambazo hazikusababishwa na any conflicts.
Afu mbona hivyo kunani ?
Mbona umeniuliza a certain relation kama una mshtuko?
 
Nipo binamu, mzima wa afya, hope na wewe upo powa
asante kwa kunikaribisha tena

mi bureri wa afya..... kuadimika kwako tunakumiss sana hasa michango yako..

tunajua mambo ni mengi lakini jitahidi kazi na dawa....
 
umeona uile thread nimekutag jana?
 
sasa wewe Jiwe Linaloishi kwani umeambiwa hapa ni sehemu ya kukaribishana wewe huoni hapo juu panasemaje? nenda kamkaribishe kwako kama hujamuona muda mrefu sio kutuzingua hapa
binamu upo... umeadimika sana lol
hope u mzima
karibu.
 
Last edited by a moderator:
sasa wewe Jiwe Linaloishi kwani umeambiwa hapa ni sehemu ya kukaribishana wewe huoni hapo juu panasemaje? nenda kamkaribishe kwako kama hujamuona muda mrefu sio kutuzingua hapa

hahahah tuko nyumbani kwa Mentor baada ya kumpa pole ndio tunasongesha kidogo.. za hapa na pale.. sogea basi na wewe

mzima lakini?
 
mm ni mzima wa afya tele hofu na mashaka juu yako, nipo ofisini kwani yeye nilimuacha home alikuwa ajisikii vizuri ila nilimwambia Mentor akiona yuko flesh aende kazini kwani ofisi si yake watamweka mwingine pale, sasa nashangaa bado yuko home, sijui hakupata nafuu, si angeniambia jamani kuliko kukaa peke yake na homa ikizidi nani atampeleka? naombeni msiondoke jamani nitakuja wakati wa lunchi nimwangalie tena anaendeleaje hapo. Sasa na wewe Mentor umeshindwaje kunicall jamani?
hahahah tuko nyumbani kwa Mentor baada ya kumpa pole ndio tunasongesha kidogo.. za hapa na pale.. sogea basi na wewe

mzima lakini?
 
Last edited by a moderator:

aahh anendelea vyema ashapiga mlaso kibakuli tunasubir mida mida apige chuku chuku ya bukoba, mboga mboga na thupu.. jioni azimue na kawisky kidogo,
kaona warembo hapa kajisahau kukujulisha
 
Yesuuuuu wangu mbona ananiletea balaa nishindwe kufanya kazi vizuri huyu jamani hajui kuwa mm ni mkewe wa ndoa au nyie mnataka kutugombanisha sisi, halafu wewe Mentor hujui kuwa unaumwa kwanini unakunywa hizo pombe na wakati daktari amekukataza jana? naomba pls uache fuata ushauri wa daktari Filipo aliposema jana usinywe kilevi chochote au hao marafiki zako wanakudanganya hapo, achana nao hawakupendi wanataka kuendelee kuumwa,
aahh anendelea vyema ashapiga mlaso kibakuli tunasubir mida mida apige chuku chuku ya bukoba, mboga mboga na thupu.. jioni azimue na kawisky kidogo,
kaona warembo hapa kajisahau kukujulisha
 
Last edited by a moderator:

alimaanisha hicho kilevi chako.. siyo kizuri kinalegeza sana mwili, hiki cha chupa hakina shida dawa inafanya kazi masaa 24 baada ya hapo kama kawa, lakini kwa tahadhari tutaenda kunywea pale jolly ili iwe karibu na Hosptali ya agakhan likitokea la kutokea begani fasta haina haja ya ambulance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…