ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #81
alimaanisha hicho kilevi chako.. siyo kizuri kinalegeza sana mwili, hiki cha chupa hakina shida dawa inafanya kazi masaa 24 baada ya hapo kama kawa, lakini kwa tahadhari tutaenda kunywea pale jolly ili iwe karibu na Hosptali ya agakhan likitokea la kutokea begani fasta haina haja ya ambulance
hatupo kwaajili ya kutengua torati tupo kwaajili ya kuiendeleza... mpe kilevi anywe asahau maumivu yake umesahau maandikojamani mtamuua mume wangu bure jamani mpaka nitoke huku job si atakuwa chakari na mtaihamsha hiyo homa iliyotulia au hamjui kuwa jana tulimpeleka katika maombi na ninyi mlimuombea hapa jfchitchat sasa iweje mnampa kilevi huyu mwenzenu na mnajua kuwa yeye akiona tu anachanganyikiwa kabisa, na kuhusu kilevi changu sijampa mpaka apone nyie mnataka kuleta balaa katikati yetu au hamjui yakuwa alichokiunganisha ............ mwanadamu hawezi kutenganisha?
mkuu kwema pole na masahibu... karibu tena jamvinGet well soon Mentor.....
khaaa! hadi umeamua kunisuta hadharani jamani???
haya bana naomba msamaha sana kwa hilo. najua nimekuudhi bt am so sorry ma lito bro
Umeona mkuu?
Vip maendeleo?
Nipo mzigoni...!!!
Nashukuru sana mkuu....nimerudi na yamepita salamaPole sana mkuu na maswahiba...bila shaka upo poa sasa!!!
Malaria imekwisha??
Huwa wanasema malaria haiishi mwilini..sasa sijui nkujibuje!