Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Title deed hana. Kasema hapo juu kuipata itachukua muda na 2 milioni juu.Pole sana Mkuu lakini kama huna nyumba nyingine Mkuu usiuze jaribu kuangalia mkopo mdogo toka bank kama una title deed.
Title deed hana. Kasema hapo juu kuipata itachukua muda na 2 milioni juu.
Humu wamejaa school dropouts waliokimbia umande kazi kuleta ujuha kwenye mambo seriousJamani someni vizuri ana maana nyumba iko umbali wa mita 400 kutoka barabara ya lami siyo milioni 400 kama ni hivyo asingesema mpange bei
Huna hela wewe , Mwenye hela hana maneno mingiBiashara za Wabongo ziko hivyo. Utafikiri mnauziana ngada [emoji16][emoji16][emoji16]
Hauzi milioni 400. 400 hiyo ni umbali wa mita kutoka barabara kuu mpaka kufikia ilipo nyumba yake. Milioni 400 kwa awamu hii hata huko Mbezi Beach unapata. Labda ingekuwa wakati wa Mkwere pesa za kubwaga lakini siyo wakati huu.Sikuona Mkuu ila kuuza nyumba hata kama umekwama kiasi gani si uamuzi mzuri. Adha za kupanga ni kiboko na pia kupata milioni 400 na vyuma vilivyokaza si rahisi na hata milioni 200 tu sijui kama atapata mtu hasa ukitilia maanani hana hati miliki.
Hela haziokotwi ndugu yangu hasa awamu hii. Kuulizia bei ndiyo limekuwa tatizo? Niko siriazi na natafuta nyumba huu karibu mwezi wa tatu sasa.Huna hela wewe , Mwenye hela hana maneno mingi
Hauzi milioni 400. 400 hiyo ni umbali wa mita kutoka barabara kuu mpaka kufikia ilipo nyumba yake. Milioni 400 kwa awamu hii hata huko Mbezi Beach unapata. Labda ingekuwa wakati wa Mkwere pesa za kubwaga lakini siyo wakati huu.
Tatizo hataki kuweka bei halafu naona keshatibuka hapo juu tayari.
Kwahiyo kasema bei yake shingapi?Jamani someni vizuri ana maana nyumba iko umbali wa mita 400 kutoka barabara ya lami siyo milioni 400 kama ni hivyo asingesema mpange bei
Hahaha 😀Duh we jamaa una roho ngumu... We ungeuza kwa bei hiyo?
Hahaha 😁Kula 20m mkuuu ukafanye yako
Ipo Salasala
400m kutoka lami.
23*33 plot.
Vyumba 5 (3 self)
Vyoo 2 vya wageni (ndani na nje)
Bei maelewano.
Contact: 0693341234
View attachment 1170522View attachment 1170523View attachment 1170524View attachment 1170525View attachment 1170526
Huna jeuri ya kutoka na mke wangu we dalali feki...Nyumba yangu nauza kwa uamuzi wangu iwe mikopo au nikagawe au nikupe au nitoke na mkeo its none of your business.
Dalali anatafuta cha juu... Anataka awaingize mjini washamba wa Chattle...Weka bei watu wachangamke au weye ni middleman unataka kuweka na chako cha juu?
Humu wamejaa school dropouts waliokimbia umande kazi kuleta ujuha kwenye mambo serious
Siyo dropouts tuu Brother. Wengi wana degree kabisa ila ndo hivyo our education system is pouring rubbish on streets. Atakuja hapa atatafta loop hole ili aweke comment yake apate like aridhike au aanzishe ubishi tuu. Tanzania is a Zombie Nation. I do believe that Miseducated person is more dangerous than Uneducated. Am young am in problems and urgently I want to sell my unfinished house yet mtu anakuja kufanya jokes. I stated text me or call nimeweka Number kabisa, nime expose my number kabisa kwa mtu serious na watu kadhaa wamenicheki already and Asanteni sana. Inakera inakasirisha. Kama nimekujibu vibaya am sorry. Kama umeweka Offer yako hata kama ni 10m asante kama inalipa ill reply na kama hailipi ill tell you. Sijafikisha 30yrs na population yetu vijana ni zaidi ya 1/2 ya watu wote Tanzania na I would like to say we are dumb. And we make jokes in life and anything that comes infront of us.
Nampa insight aliyesema anataka kununua nyumba kwa 20m. Mm siyo dalali nyumba ni yangu na ukija kuichek utanikuta na siku unalipia hela inakuja kwenye acc yangu. Acha kuongea kama huelewi! Siweki bei ili mtu achukue hapa atafte mteja kwa bei yake apate cha juu. Na pia kukwepa madalali na % yao. Next time don’t waste your precious minutes trying to satisfy others.
Acha nao Mkuu , serious buyer will sail to you .. Achana na hawa wamiliki wa Simu za tecno na bundles za chuo kazi kupiga domo humuSiyo dropouts tuu Brother. Wengi wana degree kabisa ila ndo hivyo our education system is pouring rubbish on streets. Atakuja hapa atatafta loop hole ili aweke comment yake apate like aridhike au aanzishe ubishi tuu. Tanzania is a Zombie Nation. I do believe that Miseducated person is more dangerous than Uneducated. Am young am in problems and urgently I want to sell my unfinished house yet mtu anakuja kufanya jokes. I stated text me or call nimeweka Number kabisa, nime expose my number kabisa kwa mtu serious na watu kadhaa wamenicheki already and Asanteni sana. Inakera inakasirisha. Kama nimekujibu vibaya am sorry. Kama umeweka Offer yako hata kama ni 10m asante kama inalipa ill reply na kama hailipi ill tell you. Sijafikisha 30yrs na population yetu vijana ni zaidi ya 1/2 ya watu wote Tanzania na I would like to say we are dumb. And we make jokes in life and anything that comes infront of us.