PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Duh!!!hii sio poa.View attachment 1170768
Wewe huyuu ndo unataka niweke bei ununue nyumba yangu? [emoji23][emoji23][emoji23]. Kapambane na hayo matunda yako kwanza ukikua ndo uje kwenye uzi wangu ... stpd
sijaona sababu ya kudhalilisha mwenzio kiasi hki kisa tu amekuambia uweke bei, kuwa na hekima ni kitu cha muhim sana maishani.View attachment 1170768
Wewe huyuu ndo unataka niweke bei ununue nyumba yangu? [emoji23][emoji23][emoji23]. Kapambane na hayo matunda yako kwanza ukikua ndo uje kwenye uzi wangu ... stpd
Mkuu inaonekana una stress sana maana si kwa malalamiko haya as if kuna watu hapa ndiyo wamechangia hayo matatizo yako jiangalie pia mtu yoyote akisoma tangazo lako inaonekana pia wewe hauko serious ni kama dalali tuSiyo dropouts tuu Brother. Wengi wana degree kabisa ila ndo hivyo our education system is pouring rubbish on streets. Atakuja hapa atatafta loop hole ili aweke comment yake apate like aridhike au aanzishe ubishi tuu. Tanzania is a Zombie Nation. I do believe that Miseducated person is more dangerous than Uneducated. Am young am in problems and urgently I want to sell my unfinished house yet mtu anakuja kufanya jokes. I stated text me or call nimeweka Number kabisa, nime expose my number kabisa kwa mtu serious na watu kadhaa wamenicheki already and Asanteni sana. Inakera inakasirisha. Kama nimekujibu vibaya am sorry. Kama umeweka Offer yako hata kama ni 10m asante kama inalipa ill reply na kama hailipi ill tell you. Sijafikisha 30yrs na population yetu vijana ni zaidi ya 1/2 ya watu wote Tanzania na I would like to say we are dumb. And we make jokes in life and anything that comes infront of us.
Ipo Salasala
400m kutoka lami.
23*33 plot.
Vyumba 5 (3 self)
Vyoo 2 vya wageni (ndani na nje)
Bei maelewano.
Contact: 0693341234
View attachment 1170522View attachment 1170523View attachment 1170524View attachment 1170525View attachment 1170526
Umenichekesha balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We una nyodo, kwan muuza matunda hawezi kuwa na ela yakununua uho uchafu wako kaka angu
Ndo maana umefulia. Na bado.View attachment 1170768
Wewe huyuu ndo unataka niweke bei ununue nyumba yangu? [emoji23][emoji23][emoji23]. Kapambane na hayo matunda yako kwanza ukikua ndo uje kwenye uzi wangu ... stpd
[emoji28][emoji28]Kingereza cha nini bosi wakati una Emergency
Kwanza hilo bandiko halikua la kweli hata hiyo miti ya mipassion sina nimeshangaa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Then, ingekuwa ndio ina maana muuza matunda hawezi kumake pesa ya kununua nyumba? Kichaa huyu muuzaji gani ana nyodo hiviWe una nyodo, kwan muuza matunda hawezi kuwa na ela yakununua uho uchafu wako kaka angu
unaonaje nimchukulie mwanao?Pole sana mkuu Mungu akufanyie wepesi kwa unayopitia
sonona.Nyumba yangu nauza kwa uamuzi wangu iwe mikopo au nikagawe au nikupe au nitoke na mkeo its none of your business.
mkuu Acha dharau.View attachment 1170768
Wewe huyuu ndo unataka niweke bei ununue nyumba yangu? [emoji23][emoji23][emoji23]. Kapambane na hayo matunda yako kwanza ukikua ndo uje kwenye uzi wangu ... stpd
Nyumba haina hati na nimeambiwa it will take up to 3months kuipata na million 2. Mm nina dharura. Ila kama naweza kukopesheka kwingine kwa riba na nikapewa robo ya bei ya nyumba ill pay. Ni dharura ndo maana
Jiwe kaharibu uchumi wa nchi alafu vibaraka wa ccm kama wewe mtatumwa mseme "ni wapiga dili wanaokwepa kodi".Kwanini uchukulii mkopo na nyumba ukabaki nayo?
Jiwe kaharibu uchumi wa nchi alafu vibaraka wa ccm kama wewe mtatumwa mseme "ni wapiga dili wanaokwepa kodi".
Nimempigia huyu jamaa kwa ile number kasema 220Mil, nimeshindwa MimiSijasema haitoshi sijaandika hivyo. Kiwanja nilinunu mwaka jana January. Kiwanja nilinunu 23m. Kutokana na hiyo location. Nimeweka Number yangu hapo juu. Kama upo “siriazi” kama unavyosema feel free ku call. Ntakupa bei na umlete huyo mtu wako au watu wako wa ujenzi waje au aje. Ahsante
Hahahah nimekipenda kiinglishi chako. Dah!Siyo dropouts tuu Brother. Wengi wana degree kabisa ila ndo hivyo our education system is pouring rubbish on streets. Atakuja hapa atatafta loop hole ili aweke comment yake apate like aridhike au aanzishe ubishi tuu. Tanzania is a Zombie Nation. I do believe that Miseducated person is more dangerous than Uneducated. Am young am in problems and urgently I want to sell my unfinished house yet mtu anakuja kufanya jokes. I stated text me or call nimeweka Number kabisa, nime expose my number kabisa kwa mtu serious na watu kadhaa wamenicheki already and Asanteni sana. Inakera inakasirisha. Kama nimekujibu vibaya am sorry. Kama umeweka Offer yako hata kama ni 10m asante kama inalipa ill reply na kama hailipi ill tell you. Sijafikisha 30yrs na population yetu vijana ni zaidi ya 1/2 ya watu wote Tanzania na I would like to say we are dumb. And we make jokes in life and anything that comes infront of us.