Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
We ni ke bhana, but kiukweli kama anamakucha marefu lazima anuke mavi tu, hamna ..wanawake wa nyakati hizi mnafanya mambo kwa kufuata mkumbo.Ila jamani wanaume wa siku hizi tunalalamika sana. Kila ukiperuzi majukwaa ni wanaume tu wanalalamika.
Khaa mpaka imekuwa kero sasa. Wanaume tukomae jamani tupambane na hali halisi mbona tunalia lia kila uchwao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numbisa kumbe una primitive mind sana. Yani huduma ya sh. Elfu 3 ndo kuwa na hela?, au kwenu huko scrub ni milioni???? Sikujua kama ndo hiki una maanisha. Kumbe scrub ya elfu 3 ni anasa. Ila nyie kuapaka rangi kila week, kuritouch nywele, kuoshwa miguu hayo hamyaoni???
Numeo ana kazi kweli kweli
Aiseee. Asante kwa kunitusi bablai..We ni ke bhana, but kiukweli kama anamakucha marefu lazima anuke mavi tu, hamna ..wanawake wa nyakati hizi mnafanya mambo kwa kufuata mkumbo.
We ni ke bhana, but kiukweli kama anamakucha marefu lazima anuke mavi tu, hamna ..wanawake wa nyakati hizi mnafanya mambo kwa kufuata mkumbo.
Aiseee wewe ungekuwa wife, ungekuwa unakula makofi daily[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]edit basi uzi kule juu weka bei ya scrub uliyoitaja hapa
Umama ni kutaka kushindana na wanawake. Anyway maandalizi mema ya J3,natumaini hujaishia kukarabati kichwa kikubwa na kidogo kikumbuke bana.
Nyie wanamme wa DARMkoani hatufanyi hayo mambo ya ku-scrub mkuu.
By
Mwenyekiti kivuli wa watu wa Mkoani
Haha nomaa sana kwa siku hukosi nyuzi kama 3 hviii wanaume wanawalalamikia wanawakeIla jamani wanaume wa siku hizi tunalalamika sana. Kila ukiperuzi majukwaa ni wanaume tu wanalalamika.
Khaa mpaka imekuwa kero sasa. Wanaume tukomae jamani tupambane na hali halisi mbona tunalia lia kila uchwao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee wewe ungekuwa wife, ungekuwa unakula makofi daily[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sio kwa Gubu iloo mtoto wa kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha haaa nimechekaaAisee shemeji yako anapika hapa,harafu na yeye ana makucha hayo kama Dragon,what are you trying to say?
Ha haaa nimechekaa
DaaaaahLahaulaaaaaa
Bas samahani, kama wewe ni me try to evaluate your sms before you have posted.. Kwasababu kupitia Sms kama upo intelligent unaweze kugundua jinsia Ya mtu n. KAiseee. Asante kwa kunitusi bablai..
Bas samahani, kama wewe ni me try to evaluate your sms before you have posted.. Kwasababu kupitia Sms kama upo intelligent unaweze kugundua jinsia Ya mtu n. K
Wewe unae interprete pia unatakiwa ujaribu ku evaluate unachosoma katika angles tofauti tofauti.Bas samahani, kama wewe ni me try to evaluate your sms before you have posted.. Kwasababu kupitia Sms kama upo intelligent unaweze kugundua jinsia Ya mtu n. K