Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
- Thread starter
-
- #161
Wewe wa mkoani acha kutusumbua. Kila siku unalalama. Vingine vunga
Pole sana.
Unalala mika sanaaa...wwe kula na kausha maisha hayata simamaBoss nikilishwa mavi nikae kimya???
Unalala mika sanaaa...wwe kula na kausha maisha hayata simama
Aiee shida sanaAisehhh nakumbuka jamaa mmoja nae alilalamika kama we we Ila yeye ilikua ni mama muuza mmoja hvi yani makucha mikono yote halafu ndio anashughulika sana anakata kata mboga yani jamaa alitapika baada ya kugundua pale kumbe anamtoto mchanga
Sema nini. Hawa madanga wanazingua tusipo wasema watatuchukulia powaLazima tutoe taarifa ili waache
Kama unavojua kesho ni J3. Wenyewe mnaita Blue monday.
Nimetoka zangu church mida ya saa 7 nikapata msosi hapohapo church kuna canteen mradi wa akina mama. Then nikaseme niende Salon nikafanye Shaving kidogo na Scrub. Si unajua kesho J3.
Flesh. Nikaingia salon fulan ni Classic kwa mazingira ya huku mkoani. Kanyolewa Panki la kiafande then nikaingizwa chobingo kwa ajili ya kufanyiwa usafi wa uso.
Akaja dada mmoja mashaallah kwa ajili ya kunihudumia.
Nikaaa kwenye kiti akanifunika apron akaanza shughuli zake. Wakati anaendela akani excuse kuwa anatoka mara moja pls so nimsubirie.
Akaniacha na mascrub usoni. Kama baada ya dakika 7 hadi kumi akaja huku kachangamaka. Akaniambia alienda kuongea na boss wake maramoja so alikuwa anamkbadhi office. Nika mwambia OK.
Kumbe yule dada alikua Toilet bwanaaaaaaa
Daaaaaaah ili anapitisha Vidole vyake kwenye pua zangu yani nimesikia harufu ya kinyesi kikaliiii kwenye kucha zake. Nimekasirika balaaa
Kumwambia nashindwa, najibaraguza hata aniaache yeye anakomaa tuu. Ikabidi nimtume anunue vocha nina emergency. Akaenda kununua ikabidi nimuombe dada mwingine anioshe.
Khaaaaaaaaaaaa. Wanawake mnafuga makucha ya nini??? Mnauza Unga?? Au nyie majini??
Unakuta mwanamke kama huyo ndo mke anakatakata Nyanya aunge kwenye mboga nile mimi na watoto wangu. Kweli??,,??
Urembo uswazidi nguvu kiasi hicho jamani.
Sema nini. Hawa madanga wanazingua tusipo wasema watatuchukulia powa
Kwa mbwaHiiz technologies za kulambana uzazi sijui imetoka wapii
Lingekuwa na pesa lingeshinda humu[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anachosha huyu jamaa,kutwa kusimanga wanawake na kujisifia pesa
Lingekuwa na pesa lingeshinda humu[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..
Kwanini usimuambie?kitu kama hicho ulitakiwa umwambie harakaa
This is too much...zaidi ya nyingi utafikiri competitionMpaka mda mwingine unahisi ni story za copy and paste.
Zimekuwa nyingi sana
This is too much...zaidi ya nyingi utafikiri competition
Kuna wakubwa humu huwa wanasema 'wanaume tunapuputika kwa kasi sana'This is too much...zaidi ya nyingi utafikiri competition