Jamani sisi wadada na magari tupunguze

Jamani sisi wadada na magari tupunguze

Endeleeni tu nyie si mnapenda vitu vizuri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake
Unasema tu
Wewe mwenyewe ukute unatembea na waendesha bodaboda
 
Leo nimefurahia sana kituko kimetokea maeneo fulani nikaribu mastendi ya hapo na kwetu.
Mudada alizoea kupewa lift na jamaa inavyosemekana kila siku asubuhi kama miezi mitatu hivi anakuja kwa huyo dada na pia amelala naye mara kibao akizani ni tajiri.
Imepita miezi kama minne na huyu jamaa haji tena kwa msichana na wala hampi lift.
LEO MIDA YA SAA 11
Ameshuka kwenyw kidaladala akaona lile gari akalikimbilia julius julius subiri kwa maana lilipaki mbele ya haice aliyokuwepo ndani yake halafu ilimshusha msichana .
Kushuka nakuita kwa sauti..
Gari ikasimimama ila sio yeye ni mtu mwingine kuhojiana yule alikuwa dereva na yupo off kwa leo .
Dar wadada tuweni makini wengine nivibarua tujipende kwani gari shillingi ngapi
Lakini fresh tu, wengine wanamegwa hata lift hawajawahi kupewa
 
Unasema tu
Wewe mwenyewe ukute unatembea na waendesha bodaboda
Sijui umeielewa point yangu? Yaani nitoe mzigo kwa mwanaume kisa tu amenipa lift na siyo kisa nimempenda? Huyo dereva bodaboda kama ni mpenzi wangu na nimempenda mwenyewe haina shida ila nitoe kwa mwanaume yeyote tu eti kwa sababu kuna offer kanipa hata kama simpendi? No, Never.
 
Katoto kazuri nasikia na wewe una katabia kakuomba lift za wanaume ni kweli au uongo
 
Wanawake hata uwe nagari linamlango wakupachika bado utawala sana
 
Haaaaaahaaaaa haya maneno ingekuwa kweli yanatoka moyoni mabebi zenu tusio na magari angalau tungekuwa na amani kuliko hv tinaishi roho juu juu tunajambishwa hadi na madereva wa ambulance!
Hahahaha tatizo na nyie wanaume wa siku hizi hamna mapenzi ya dhati na hamtimizi majukumu yenu kwetu sisi wanawake zenu sasa mnategemea nini?
 
Tatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake
😂 Gari ni status symbol wewe ndio maana wenye IST,Passo,Vits, Swift wanakandiwa ila wenye Kluger, Harrier na gari zingine za juu af ukute wana vimwili vya kibosile basi ni kama wana Visa za kuvulia chupi mjini. Na munawasifiaga kabisa humu.
 
Af we unajifanyaga hupendi hela eti ila in disguise kwenye hela unarojeka kama biskuti kwenye chai
 
Tatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake
Wee upewe lift ya ndege mbona ukikaa tuu kwenye kitu kyupi tayari imelowana hahahaha
 
😂 Gari ni status symbol wewe ndio maana wenye IST,Passo,Vits, Swift wanakandiwa ila wenye Kluger, Harrier na gari zingine za juu af ukute wana vimwili vya kibosile basi ni kama wana Visa za kuvulia chupi mjini. Na munawasifiaga kabisa humu.
Watawachaje kuwasifia wakati gari ndio kisu cha warembo....yaani kuna comfort gake bwana ukiwa na gari mwanamke anafeel comfortable....full kipupwe nini
 
😁😁😁 af vinakuja kutaka sifa et mi hunigongi kisa gari! Nashukuru mungu bby wangu hababaikagi na hizo mambo maana ningepata tabu sana na huu wivu!
 
Tatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake
Huendi mbinguni kwa uchoyo huo
 
Back
Top Bottom