papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 765
- 503
Hivyo ulivyotaja ni 0.0000001% ya kiasi cha mafuta kinachotumika duniani at any given time
We mmama unaamini kuwa Magu ana uchungu na nchi hii? Angetumia mabilioni kujenga Airport Chato? Hiyo Stieglers, SGR na maeropleni ndivyo vichaka alivyoviona vya kuchukilia chake mapema kama walivyofanya watangulizi wake na vichaka walivyotumia!!Sasa kama unalijua hilo kwanini Magufuli anapojisikia uchungu juu ya hilo na kuamua kuanza kujenga bwawa la Stiegler's mnaanza kupiga kelele za mazingira? Ni kweli tumechelewa, ila its never too late, JPM aachwe afanye kazi yake
Mada zako nyingi unajitaidi kuzunguka mbuyu ila maudhui yako unalenga waislam sana na uislam(NADHANI UNAPATA SANA FRAHA KWA HILI) Nikukumbushe tu sijaona dini ilokamilika
Samahani kwa mawazo yangu mkuu. na ukweli nachukia udini na dini yoyote ni utumwa
kwa bahati mbaya hajapata mfuasi hata mmoja.... huko alipo uso umemshuka kama kafumaniwa na mkwewe, lol.Sipendi matapeli kabisa.Hii nchi ipo hapa kwa sababu ya watu aina hii ya mtoa mada.Kwani anapata wafuasi wengi sana kwa kuwa wengi huwa hawatumii akili vizuri
Nakumbuka tulivyodanganywa kuhusu gas Mtwara.Yaani upambe ulikuwa hivi hivi!Tukaaminishwa kuwa gas ndio umeme wa nafuu kuliko umeme wa maji.Leo tunadanganywa tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa jibu hoja kama ilivyo na sio kuleta mipasho ya kidemu demu hapa. Mkandarasi kuwa mwarabu inabadilisha vipi hoja kwamba wazalishaji wa kiarabu wa mafuta watakua omba omba wa chakula Afrika baada ya dunia kuanza kutumia magari ya umeme na kuachana na nishati ya mafuta? Kusema hata vifaa vya umeme hutumia mafuta ni sawa na kusema bahari ikianza kukauka tutaujaza kwa kutumia ndoo za kubeba kichwani, absolute bogus shit!Uvembewe vyote lakini usivembewe maharage akili hufubaa na mashuzi yake haya vumiliki, mkuu umebugi step kama kuvembewa kwako kumeamsha ndoto za nyegezi kuwa utapata watoto wa kiarabu sinza heri utafue sabani ya kujichuwa mapema,
Kwanza ondowa maradhi akilini kuwa ipo siku ulimwenguni mafuta yatakosa soko futa ujinga huwo sababu hakuna mtambo wowote ule ulimwengini utafanya kazi bila kuhitaji mafuta hata huwo umeme hupozwa kwa mafuta,
Pili usifikirie waarabu wakousingizini na kuota ndoto za mcahana kama waafrika, kwanza jiuulize hiyo stiegler's gorge mjenzi wa bwawa hilo ni nani ? Ukipata jibu ndio utajuwa muarabu ni nani
HILI HASA NDO NENO!!!!Believe or notSio kupiga magoti watarudi kutawala upya kupitia mlango wa biashara
Wanzungu wataona wivu watakuja kuwaondoa waarabu kuchukua nafasi, black people wanaingia ukolon mpya
Siyo yetu kwani tumeshaigawa tayari, aaagh..., acheni masikhara na Uranium yetuHivi uranium hujui kama hatuiimiliki tena ushasikia mkuru anaizungumzia wapi
We nambie ushamsikia wapi anainadiSiyo yetu kwani tumeshaigawa tayari, aaagh..., acheni masikhara na Uranium yetu
...everyone will ride. Kweli. [emoji16]If wishes were horses..