Jamani tuache masihara. Hizi pisi kali ni hatari kuliko Corona

Kimeumanaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo juma3 ila mood yangu haiko sawa.

Takribani miezi 8 nyuma nilifahamiana na kadada kamoja kamodo kazuri keupe ila takoless nikarusha nyavu baada ya kama wiki
Dah pole sana mkuu
 
Acha kuzunguka mbuyu ...kama huyo demu angekua na msimamo haya yasingemkuta. Hapo wamekutana wahuni wawili. .so hakuna wa kulaumiwa ... Unazungumziaje wale bodaboda aliowapanga kisa hela ya chakula ...nao n ubinafsi anajiangalia yeye tuu
 
Fanya mazoezi, kunywa maji ya kutosha, kula matunda ya kila aina, kula sana mboga za majani kwa wingi, usisahau ibada kwa sana, kunywa sana maziwa pia kula vzr.
 
Leo juma3 ila mood yangu haiko sawa.

Takribani miezi 8 nyuma nilifahamiana na kadada kamoja kamodo kazuri keupe ila takoless nikarusha nyavu baada ya kama wiki
Ukapiga dry
 
Acha kuzunguka mbuyu ...kama huyo demu angekua na msimamo haya yasingemkuta. Hapo wamekutana wahuni wawili. .so hakuna wa kulaumiwa ... Unazungumziaje wale bodaboda aliowapanga kisa hela ya chakula ...nao n ubinafsi anajiangalia yeye tuu
Siwezi kufa njaa na Nina mtaji nitulie tu Tena huyo dada mstaarabu sana loh
 
Yaan mtoa mada kanipandisha jazba sana,,yaan demu takoless unaanzeje kuhudumia eti kumnunulia vitu vya ndani.kmmk walahi!..by the way hv wanaume wenzangu huwa mnawezaje kudate na hv vitakoless yaan unakuwa nacho longtime nauliza mnawezajee?
Ametutia aibu sana. Takoless unapiga mara moko halafu unakimbia sanaa
 
Ushauri! Kapime, kama uko poa usiendelee na mapenzi ila endelea kumhudumia.
 
Mlisema wa chuo K zinabana.Don run away Kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…