Jamani tuache masihara. Hizi pisi kali ni hatari kuliko Corona

Hivi unaokotaje mwanamke alafu unajipigia kavu na hamjapima kweli ulizingua sana
 
Dirisha linakuhusu
 
tupe mbinu za kuhack mk
Pole tupe mbinu za kuhack simu mkuu!!
 
Wengi hapa wanasema unapigaje demu hujapima sijui nini na nini lakini mbona wengi tu nakutana nao wanasema hawapendi condom wanakula kavu sasa huwa wanapima saa ngapi, na kupima tu siyo ishuu

Mfano demu yuko siku zake na ni malaya ana tombw kila saa na saa ingine hajui siku zake vizuri unatiwa afu damu zile kitu virus anapata akienda hosp inasoma negative ilaa huyo demu mpime miezi 5 mbele, mistari miwili atalia weeee
Ila shogaa atapoa zake atakuwa anatumia dozi na amna anayejua.
 
Una mke
Una watoto
Una ngwengwe
Halafu una mchepuko anachomekwa kama ATM
 
We ni ke?
 
Umeandika la msingi wanaume mpaka mpewe ngono ndo hutoa msaada, bila hivo simlaumu huyo Binti maisha ni changamoto Sana, hafu na huyu mwanaume mjinga ana mke ana mchunga mchepuko ili iweje, pia kumnyang'anya simu ni utoto si alimtumia
Alikiuka terms and conditions za matumizi. Ni sahihi kumnyang'anya simu. Hako kadada kashenzi sana. Mwamba alikuwa anakalinda mjini kangebaki na mtu mmoja. Unawezaje ku-sex na mtu zaidi ya mtu mmoja na bila protective gears.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…