Wengine wanataka wakitongoza tu wakubaliwe. Dunia hii tutakubalia wangapi jamani? Kuna JF Whatsapp Insta ofisini mtaani barabarani kwenye daladala. Sasa mtu kukataliwa kwanza lazima kakataliwa kwa udogo wake analeta povuAsee humu kazi ipo,ngoja wengine tubaki wasomaji .
Pamoja kwamba nimewahi kutoswa humu lkn siwezi kukandia mdada ,hasa hao so called single Mom
KabisaaYaani sana kuna wanaume full kuheshimiana ila hawa waliosomeshwa na mashemeji walala sebuleni [emoji8]
Mbiti leo umeamkia upande gani mama?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na ww wale wale !laiti humu tungeamua kueleza ukweli tumelelewa na nan bas kebehi km hiz na utoto huu usingekuwepo!msidhan wanapenda!grow up!
Hahahahaaa. Kachukia vibaya sana.Mbiti leo umeamkia upande gani mama?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna wale wamelelewa na wazazi wawili bila kujua mama zao ndo walikua wanaendesha familia baba alikia kivuli tu ila nao kutwa kusema single moms as if baba zao walichangia kitu kwenye ukuaji wao zaidi ya kuwepo nyumbani tu kama baba.nakuambia humu nahakika zaidi ya nusu ya watu wa humu mama zao walijifunga kibwebwe wamefika hapa !kuutwa kukebehi tu
Kachanganya tu hujawah tukana au kuwapondea jamanimmmh. nilishawahi kukutukana au kuwatukana?
umenikosea heshima saana kuniita mimi wale wale na kuniambia grow up.
HahaahahaaaYaani ndiyo ukweli wake, michepuko ya mama yao imewasukuma mpaka hapa walipo, lakini kutwa kuongea upupu mpaka wanatoa jasho kwenye fizi zao
Na kiukweli kabisa wachache sana wanaolelewa na wazazi wote wawili ,,watu wanakufa,kuna wanaolelelwa na baba tuKuna wale wamelelewa na wazazi wawili bila kujua mama zao ndo walikua wanaendesha familia baba alikia kivuli tu ila nao kutwa kusema single moms as if baba zao walichangia kitu kwenye ukuaji wao zaidi ya kuwepo nyumbani tu kama baba.
Anachukia imagine hata sio single mom she is happily married ila kama mwanamke anaona why kila siku kusema mwanamke alieleta kiumbe duniani kama vile ni jambo baya kafanya mpaka iwe discussion. Utoto tu humuHahahahaaa. Kachukia vibaya sana.
Wapo baba na mama wanaishi nyumba moja ila baba hajali wala nini. Ila kwa kuwa mama ndo anajua uchungu wa mwanae atapambana uwe pale anataka. Vijana hawa hawaelewi wakishaota ndevu wakahudumia gf zao wanadhani hata baba zao walifanya hivyo wakafika hapo walipofika. Ndo maana hawashangai kwamba pamoja na dhihaka zao daily ila hamna mama anaejuta kuwa single mom wala mwanamke anaetukana single mom kwa sababu hawajawahi kubeba mimba wala kupata uchungu wa kulea mtoto ndo maana wao wanaona ni jambo baya kulefa mtoto asie na wazazi wawili.Na kiukweli kabisa wachache sana wanaolelewa na wazazi wote wawili ,,watu wanakufa,kuna wanaolelelwa na baba tu
Sijui tukiamua kuwakubalia wote si vita itatokea jamani,mi natongozwa karibia kila siku ukiwakubalia wataluwa wanakufata nyuma nyuma msururu wamejipangaWengine wanataka wakitongoza tu wakubaliwe. Dunia hii tutakubalia wangapi jamani? Kuna JF Whatsapp Insta ofisini mtaani barabarani kwenye daladala. Sasa mtu kukataliwa kwanza lazima kakataliwa kwa udogo wake analeta povu
tena ww umeiandika vyema!hhahaNshenji[emoji2]
Tafuteni forum yenu watoto under 25 mkakae. Huku kwa watu wazimaAfazali umesema. Me nlikua kila siku nawaza namna ya kuliongelea hili. Wazee mmetuzidi wanenu
maendeleo yako?Sijui tukiamua kuwakubalia wote si vita itatokea jamani,mi natongozwa karibia kila siku ukiwakubalia wataluwa wanakufata nyuma nyuma msururu wamejipanga
Utakubalia wangapi hadi watoto? wakati wakubwa wenzio wamejaa tele!Wengine wanataka wakitongoza tu wakubaliwe. Dunia hii tutakubalia wangapi jamani? Kuna JF Whatsapp Insta ofisini mtaani barabarani kwenye daladala. Sasa mtu kukataliwa kwanza lazima kakataliwa kwa udogo wake analeta povu
Hapo ndio niliposhangaa halafu kawaida tu kukataliwa ,cz inawezekana kuna vigezo hujatimiza so kiroho safi anakuweka pembeniWengine wanataka wakitongoza tu wakubaliwe. Dunia hii tutakubalia wangapi jamani? Kuna JF Whatsapp Insta ofisini mtaani barabarani kwenye daladala. Sasa mtu kukataliwa kwanza lazima kakataliwa kwa udogo wake analeta povu
Wanataka sijui tuwatupe wema hapo analia kila siku azae hata katoto,ndoa wanadhani ni ya kukimbilia tuWapo baba na mama wanaishi nyumba moja ila baba hajali wala nini. Ila kwa kuwa mama ndo anajua uchungu wa mwanae atapambana uwe pale anataka. Vijana hawa hawaelewi wakishaota ndevu wakahudumia gf zao wanadhani hata baba zao walifanya hivyo wakafika hapo walipofika. Ndo maana hawashangai kwamba pamoja na dhihaka zao daily ila hamna mama anaejuta kuwa single mom wala mwanamke anaetukana single mom kwa sababu hawajawahi kubeba mimba wala kupata uchungu wa kulea mtoto ndo maana wao wanaona ni jambo baya kulefa mtoto asie na wazazi wawili.
Kuna watu wanatutongoza mwaka wa saba huu na wala hawakasiriki wakikataliwa. Mtu anakutongoza na ka Id fake wala hata hakujui anakasirika kabisa. Kumbe maskini unaweza ukamkubalia akikuona live unalingana na bibi yakeSijui tukiamua kuwakubalia wote si vita itatokea jamani,mi natongozwa karibia kila siku ukiwakubalia wataluwa wanakufata nyuma nyuma msururu wamejipanga
Nimeamka poa tu ila ikifika jioni tu najiandaa hapa niende hospitalmaendeleo yako?