Wapo baba na mama wanaishi nyumba moja ila baba hajali wala nini. Ila kwa kuwa mama ndo anajua uchungu wa mwanae atapambana uwe pale anataka. Vijana hawa hawaelewi wakishaota ndevu wakahudumia gf zao wanadhani hata baba zao walifanya hivyo wakafika hapo walipofika. Ndo maana hawashangai kwamba pamoja na dhihaka zao daily ila hamna mama anaejuta kuwa single mom wala mwanamke anaetukana single mom kwa sababu hawajawahi kubeba mimba wala kupata uchungu wa kulea mtoto ndo maana wao wanaona ni jambo baya kulefa mtoto asie na wazazi wawili.