Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Asee humu kazi ipo,ngoja wengine tubaki wasomaji .

Pamoja kwamba nimewahi kutoswa humu lkn siwezi kukandia mdada ,hasa hao so called single Mom
Wengine wanataka wakitongoza tu wakubaliwe. Dunia hii tutakubalia wangapi jamani? Kuna JF Whatsapp Insta ofisini mtaani barabarani kwenye daladala. Sasa mtu kukataliwa kwanza lazima kakataliwa kwa udogo wake analeta povu
 
nakuambia humu nahakika zaidi ya nusu ya watu wa humu mama zao walijifunga kibwebwe wamefika hapa !kuutwa kukebehi tu
Kuna wale wamelelewa na wazazi wawili bila kujua mama zao ndo walikua wanaendesha familia baba alikia kivuli tu ila nao kutwa kusema single moms as if baba zao walichangia kitu kwenye ukuaji wao zaidi ya kuwepo nyumbani tu kama baba.
 
Na kiukweli kabisa wachache sana wanaolelewa na wazazi wote wawili ,,watu wanakufa,kuna wanaolelelwa na baba tu
 
Wapo baba na mama wanaishi nyumba moja ila baba hajali wala nini. Ila kwa kuwa mama ndo anajua uchungu wa mwanae atapambana uwe pale anataka. Vijana hawa hawaelewi wakishaota ndevu wakahudumia gf zao wanadhani hata baba zao walifanya hivyo wakafika hapo walipofika. Ndo maana hawashangai kwamba pamoja na dhihaka zao daily ila hamna mama anaejuta kuwa single mom wala mwanamke anaetukana single mom kwa sababu hawajawahi kubeba mimba wala kupata uchungu wa kulea mtoto ndo maana wao wanaona ni jambo baya kulefa mtoto asie na wazazi wawili.
 
Wengine wanataka wakitongoza tu wakubaliwe. Dunia hii tutakubalia wangapi jamani? Kuna JF Whatsapp Insta ofisini mtaani barabarani kwenye daladala. Sasa mtu kukataliwa kwanza lazima kakataliwa kwa udogo wake analeta povu
Sijui tukiamua kuwakubalia wote si vita itatokea jamani,mi natongozwa karibia kila siku ukiwakubalia wataluwa wanakufata nyuma nyuma msururu wamejipanga
 
Hapo ndio niliposhangaa halafu kawaida tu kukataliwa ,cz inawezekana kuna vigezo hujatimiza so kiroho safi anakuweka pembeni

Sasa ukija kukandia humu kwa kweli unakua ni utoto uliotukuta

Mambo vipi lkn ,poleni na msiba huko nyumbani Tanzania ,Maria na Consolata
 
Wapo baba na mama wanaishi nyumba moja ila baba hajali wala nini. Ila kwa kuwa mama ndo anajua uchungu wa mwanae atapambana uwe pale anataka. Vijana hawa hawaelewi wakishaota ndevu wakahudumia gf zao wanadhani hata baba zao walifanya hivyo wakafika hapo walipofika. Ndo maana hawashangai kwamba pamoja na dhihaka zao daily ila hamna mama anaejuta kuwa single mom wala mwanamke anaetukana single mom kwa sababu hawajawahi kubeba mimba wala kupata uchungu wa kulea mtoto ndo maana wao wanaona ni jambo baya kulefa mtoto asie na wazazi wawili.
Wanataka sijui tuwatupe wema hapo analia kila siku azae hata katoto,ndoa wanadhani ni ya kukimbilia tu
Wachache sana kina baba wanaojali watoto nyumbani ,watoto wengi wamekuzwa na mama zao sio kina baba bana anashinda bar hana habari
 
Sijui tukiamua kuwakubalia wote si vita itatokea jamani,mi natongozwa karibia kila siku ukiwakubalia wataluwa wanakufata nyuma nyuma msururu wamejipanga
Kuna watu wanatutongoza mwaka wa saba huu na wala hawakasiriki wakikataliwa. Mtu anakutongoza na ka Id fake wala hata hakujui anakasirika kabisa. Kumbe maskini unaweza ukamkubalia akikuona live unalingana na bibi yake
 
Back
Top Bottom