Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee shukuru sana sheria za kimtandao haki ya Mungu.Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.
![]()
Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.
Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.
Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.
Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.
Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.
Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.
Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
The booty that ruined a nation...hehhehe hizi caption sio za nchi hii hakyanan lol
Unataka ajikute mto Ruvu ndani ya sandarusiKama upo nae pamoja mkuu weka full your identification na picha yako
We nae jitakyo tu.... Jaribu wewe kupost hizo habari uone!!
Et kunasehemu nimeona wanamuita mama wa taifamtu mwenye akili timamu hawezi kumuita mange hero.. amtafutie jina lingine
Kiukweli cmjui huyu Mange. Anaishi wapi? Na anapata wapi taarifa za yanayoendelea Tanzania? Huko aliko ana amkaa muda mmoja Na sisi? Nauliza tu lakini
jifunze kuandika kiswahili fasaha kwanza we mburulaz bin nyumbu,una ushahidi hayo unayoongea au ni bendera fata upepo tu,nyie watu wa namna hii sijui hata nani aliwafundisha kutumia mitandaoNyie mnaomponda mange,nani kati yenu amewahi hata kumkemea hawara anayechepuka na mumewe au mkewe ?waoga hata wa ndoa zenu,ndo mtaisema serikali inayokosea!anayetukana ni Mange au ni magu na bashite? Nuie mnaohalalisha hayo mahucano ya hawa watu wawili tuwaeleweje?mko sawa vichwani kweli !,bado tu hamuoni hiyo sodoma inavyoiangamiza nchi? Hakika nyie ni zaidi ya bashite !.Mungu saidia hawa viumbe wako,wanao ona dhambi inayoangamiza nchi kati ya bashite na magu kua sio ya kawaida ! Naomba cku moja wafanyiwe aliyofanyiwa Gwajima clauds,Bashe,msukuma Wema na wana ccm wengine,ndo watajua kua huo uhucano na kz ya serikali ni sumu.Mungu cpashwi kuomba vibaya,ila Baba hata Samsoni wa Delila,aliomba vibaya na ukamckia ukaangamiza wafilisti ndani ya lile jengo !nami naku c hi Mungu wangu,hawa wanaounga mkono Haya mahucano yanayoitikisa nchi,nickie safari hii tu.ninahakika hata Ww hii dhambi haikupendezi muumba wangu.tenda jambo,dunia ijue ni ngvu yako.Amen.
heroine
Mimi ninachojua ni kwamba Mange anaakili kumshinda Mkulu na ni kiboko ya Mkulu mpaka anamzungumzia mbele ya Raisi wa Fedha Duniani.Mange ni mwanamama shujaa kuwahi kutokea Tanzania