Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

Sasa mwambie mange kimambi aje huku tz apambane sio kupiga kelele kwenye mitandio. Yy hana Cha kupoteza huku km anajiamn na haogopi ni vizuri aje apaze sauti yake. Maana wahenga walisema fimbo ya mbali haiuwi nyoka ati.
MAKONDA IS A TRAITOR, CRIMINAL AND EVIL WHO ABUSES PEOPLE AND POWER.
 
mange ana matatizo makubwa ya akili..huwezi kumtukana Rais kisha una influence apitishe agenda yako.

hata kama uhuru wa maoni ni huko kwenye liberal societies ambapo hata Trump hataki kisikia CNN yeye yupp na FOX.

hana uzalendo huo.
 
Ni kweli, kuna watu wanaonekana makini kwakua, wanasimamia kwenye Hoja, sasa yule anapandisha munkari na kuanzia kutokana watu matusi Mazito na kashfa kama choo cha stendi.

Hapo ndipo anapoharibu.!!

Kwa yeye kua "Hero" itachukua Muda. Anahitaji Parental Guidance rating..
hakuna mkamilifu ktk hii dunia asilanii!!

bila yy Leo hii tusingefika hapa na kujua yote hayo yanayoendelea!
mange tyako tuuu yule hana lolote

unadhani kuwa watu hawana habari wanazo sana ndo wanao mpa uyo mange wako

tatizo ni sheria mbovu wee iseme tuu kama uwendi kunyia debe
 
Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.

770267396df5dc6a2e855babd967a128.jpg

Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.

Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.

Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.

Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.

Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.

Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.

Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
Matango porii...kimambi kaja na desa la ukweli
 
Huyo nae akiri yake kama yako
 
Kuna kiongoz aliniuliza km natumia instagram nkamjib ndio akaniuliza tena umemfolow mange kimambi nkamdanganya sijamfolow akaniambia usiwe mzee fanya hima umfolow ujue nchi inaenda vp. Nkabak mdomo wazi.
Huyo siyo kiongozi ni mnafiki kama wewe
 
Ningeshangaa Sana kama wakina Ndio mkuu was ungekuwepo katika huu Uzi
 
mange ana matatizo makubwa ya akili..huwezi kumtukana Rais kisha una influence apitishe agenda yako.

hata kama uhuru wa maoni ni huko kwenye liberal societies ambapo hata Trump hataki kisikia CNN yeye yupp na FOX.

hana uzalendo huo.
Upende usipende. Ukweli utabaki kuwa ukweli. Mange ni jasiri na ametokea kuwa sauti ya wananchi.
 
Back
Top Bottom