Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAKONDA IS A TRAITOR, CRIMINAL AND EVIL WHO ABUSES PEOPLE AND POWER.Kama Mange Kimambi ni Hero na Makonda nae utamuita nani?
MAKONDA IS A TRAITOR, CRIMINAL AND EVIL WHO ABUSES PEOPLE AND POWER.Watu ambao hawajielewi ndio washabiki wakubwa wa mambo yakijinga.
MAKONDA IS A TRAITOR, CRIMINAL AND EVIL WHO ABUSES PEOPLE AND POWER.Sasa mwambie mange kimambi aje huku tz apambane sio kupiga kelele kwenye mitandio. Yy hana Cha kupoteza huku km anajiamn na haogopi ni vizuri aje apaze sauti yake. Maana wahenga walisema fimbo ya mbali haiuwi nyoka ati.
MAKONDA IS A TRAITOR, CRIMINAL AND EVIL WHO ABUSES PEOPLE AND POWER.Frustrated,desperate woman in exile ,shujaa hapambani hivyo.
Hahaha
for sure japo ana mapungufu yake as a human beingMange ni mwanamama shujaa kuwahi kutokea Tanzania
hakuna mkamilifu ktk hii dunia asilanii!!Ni kweli, kuna watu wanaonekana makini kwakua, wanasimamia kwenye Hoja, sasa yule anapandisha munkari na kuanzia kutokana watu matusi Mazito na kashfa kama choo cha stendi.
Hapo ndipo anapoharibu.!!
Kwa yeye kua "Hero" itachukua Muda. Anahitaji Parental Guidance rating..
mange tyako tuuu yule hana lolote
unadhani kuwa watu hawana habari wanazo sana ndo wanao mpa uyo mange wako
tatizo ni sheria mbovu wee iseme tuu kama uwendi kunyia debe
Matango porii...kimambi kaja na desa la ukweliLeo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.
![]()
Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.
Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.
Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.
Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.
Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.
Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.
Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
Kwa kuwa hujaweza toa jina tuseme huna akili??!maana kauli yako ni conditionalmtu mwenye akili timamu hawezi kumuita mange hero.. amtafutie jina lingine
Huyo nae akiri yake kama yakoLeo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.
![]()
Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.
Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.
Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.
Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.
Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.
Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.
Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
Huyo siyo kiongozi ni mnafiki kama weweKuna kiongoz aliniuliza km natumia instagram nkamjib ndio akaniuliza tena umemfolow mange kimambi nkamdanganya sijamfolow akaniambia usiwe mzee fanya hima umfolow ujue nchi inaenda vp. Nkabak mdomo wazi.
Ushujaa wake uko wapi kamalaya kaleMange ni mwanamama shujaa kuwahi kutokea Tanzania
Upende usipende. Ukweli utabaki kuwa ukweli. Mange ni jasiri na ametokea kuwa sauti ya wananchi.mange ana matatizo makubwa ya akili..huwezi kumtukana Rais kisha una influence apitishe agenda yako.
hata kama uhuru wa maoni ni huko kwenye liberal societies ambapo hata Trump hataki kisikia CNN yeye yupp na FOX.
hana uzalendo huo.
Ulishawahi kuwa shujaa wa mavi?kuna mitanzania mingine haina akili ata ujazo wa kisoda. labda kama ni shujaa wa mavi.