Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

hebu nikuulize imekuwaje tangu jana mange kafuta clip zote za makonda kafunga nahiyo account? kama ulijifanya kiherehere za kukoment mambo ya kijinga your gone myfriend! anza kabisa kuandaa watu wa kukudhamini.
mange kafunga account?
 
walimchamba watangazaji. ila uongozi wao unamuogopa kama ukoma. hata hao watangazaji mmoja mmoja wanamuogopa sana. kama unajua una makandokando (unaishi nyumba ya vioo) usijaribu kupambana na huyo dada utaishia kujuta.
 

Alipokuja kugombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM alibebwa kwa mbeleko ZOTE japokuwa hawakumpa, waliogopa "Makavu MUBASHARA" yake. Akarudi zake huko majuu.

Leo hii baada ya kuanika "ukweli" juu ya Mkuu wa Mkoa wa Dar. anawekewa "wanted" kwenye vituo vyetu VYOTE vya mipaka. Akikanyaga tu nchini, anakamatwa. Kosa lake? Kafichua ukweli.

Wanasiasa walilalama sana kwamba wangependa kuona "wafichua siri" (a.k.a. Whistle Blowers) wanalindwa kisheria kwani wana umuhimu wao. Japokuwa Mange akiamua kukuchamba utatafuta pa kujificha, huwa na sababu zake, ni methodology yake ndiyo tata. Sasa leo Mtanzania mwenzetu huyu anaambiwa "Ukirudi nyumbani tunakukamata!" Basi, wameshampa hadhi ya Political Refugee!

Hivi nyie mnaona umuhimu wa nchi hii kuwa a Political Refugees (Prisoners of Conscience, et al.) au mnaona umuhimu kwa na Political Activists watakaowatetea wananchi?

[HASHTAG]#NaingojaKatibaYaWananchi[/HASHTAG]
 
Kiukweli cmjui huyu Mange. Anaishi wapi? Na anapata wapi taarifa za yanayoendelea Tanzania? Huko aliko ana amkaa muda mmoja Na sisi? Nauliza tu lakini
 
Kiukweli cmjui huyu Mange. Anaishi wapi? Na anapata wapi taarifa za yanayoendelea Tanzania? Huko aliko ana amkaa muda mmoja Na sisi? Nauliza tu lakini
subiri akasirike uamke asbuhi ukute taarifa zako zipo hadharani ndo utamjua vizuri
 
Kiukweli cmjui huyu Mange. Anaishi wapi? Na anapata wapi taarifa za yanayoendelea Tanzania? Huko aliko ana amkaa muda mmoja Na sisi? Nauliza tu lakini
Ni nyau fulani aliyekata tamaa na anahisi muda si mrefu atapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…