wadau katika sehemu nilizokuwa sifikiri kufanya kazi wala moyoni mwangu hakumo ni ukerewe. Hatimaye leo nimepangiwa niende huko. All in all only God know it.
wadau katika sehemu nilizokuwa sifikiri kufanya kazi wala moyoni mwangu hakumo ni ukerewe. Hatimaye leo nimepangiwa niende huko. All in all only God know it.
Huu ni mkwala mbuzi, nafikiri wewe una mke mapepe huko UK unaogopa kugongewa msikilize Diamond kuwa hiyo ni SIRI ya ndani!Usiogope mjomba wee nenda ila wake za watu kaa nao mbali utaja fatwa na mamba kazini kwako mchana na anakumeza!!
Huu ni mkwala mbuzi, nafikiri wewe una mke mapepe huko UK unaogopa kugongewa msikilize Diamond kuwa hiyo ni SIRI ya ndani!
Ndo shida yenu hata ungepangiwa temeke usingeridhika kwann hukupangiwa ilala, mmeshasahau mi thread yenu mliotujazia server kila siku kulalamika na kutukana serikali kuhusu ajira tumewapa bado mnaanza kunung'unika hivi nyie mpoje khaa mpaka kero sasa.
ungepangiwa wee ungeenda lakini huko....? Kila kitu kina sababu bhana !
ungepangiwa wee ungeenda lakini huko....? Kila kitu kina sababu bhana !