Jamani ukerewe daaaah !

Jamani ukerewe daaaah !

k-star

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
541
Reaction score
388
wadau
katika sehemu nilizokuwa sifikiri kufanya kazi wala moyoni mwangu
hakumo ni ukerewe. Hatimaye leo nimepangiwa niende huko. All in all only
God knows it.
 
We nenda kapige kazi, huwezi jua unaweza kufika kule ukapapenda sana tu.
 
Usiogope mjomba wee nenda ila wake za watu kaa nao mbali utaja fatwa na mamba kazini kwako mchana na anakumeza!!
 
sina hamu kabisa furaha ya hizi ajira imeyeyuka yote !
 
wadau katika sehemu nilizokuwa sifikiri kufanya kazi wala moyoni mwangu hakumo ni ukerewe. Hatimaye leo nimepangiwa niende huko. All in all only God know it.

Kwani ulijuwa utazaliwa? we vip? kama vipi acha kazi uone kazi!
 
"God KNOWS it" siyo God KNOW it. By the way all the best!
 
wadau katika sehemu nilizokuwa sifikiri kufanya kazi wala moyoni mwangu hakumo ni ukerewe. Hatimaye leo nimepangiwa niende huko. All in all only God know it.

ndg,ucjali,kule mi ndo hme,kisiwa cha wasomi ktk tanzania.yale mambo ya ushirikina hakuna.cha mhmu,fika mapema,au 2taftane ntakpa dtails kamili,na ukikosa pakfkia,utafkia hata kwe2
 
k-star: labda utueleze ni kwanini Ukerewe inakupa kichefuchefu mawazoni mwako ili tukusaidie.
 
ndg,ucjali,kule mi ndo hme,kisiwa cha wasomi ktk tanzania.yale mambo ya ushirikina hakuna.cha mhmu,fika mapema,au 2taftane ntakpa dtails kamili,na ukikosa pakfkia,utafkia hata kwe2

poa mkuu ntakutafuta nikifika.
 
Usiogope mjomba wee nenda ila wake za watu kaa nao mbali utaja fatwa na mamba kazini kwako mchana na anakumeza!!
Huu ni mkwala mbuzi, nafikiri wewe una mke mapepe huko UK unaogopa kugongewa msikilize Diamond kuwa hiyo ni SIRI ya ndani!
 
Ndo shida yenu hata ungepangiwa temeke usingeridhika kwann hukupangiwa ilala, mmeshasahau mi thread yenu mliotujazia server kila siku kulalamika na kutukana serikali kuhusu ajira tumewapa bado mnaanza kunung'unika hivi nyie mpoje khaa mpaka kero sasa.
 
ungepangiwa wee ungeenda lakini huko....? Kila kitu kina sababu bhana !
 
Wanafiki sana. Wanakuchekea huku wanakuchimba. Ukale ugali wa muhogo na usafiri wa uhakika ni mitumbwi kwenda kwenye maeneo ya kazi. Ukerewe ina Visiwa zaidi ya 29.
 
ungepangiwa wee ungeenda lakini huko....? Kila kitu kina sababu bhana !

Kuna rafiki yangu kapangiwa huko tangu 2012 anapiga mzigo huko ukerewe. Mwaka jana nilitaka kwenda kumsalimia ila nikatingwa na kazi.
 
Back
Top Bottom