Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 795
Bora ungepangiwa hata
Tandahimba au Nkasi ukalime mashamba but Ukerewe labda uvue samaki. Huko
kuna kamji kanaitwa Nansio ndio makao makuu ya wilaya. Miaka na miaka
imepita hata hakaendelei. Watu ni wivu wa mafanikio ya wenzao na uchawi
tu.
nenda bana,mbona pazuri tu.Du! Pole mkuu! Karibu simiyu sijui ndo wapi huko aagh! Mi siendi bwana.
We mtie moyo tu mara akifika huko anavuka tena anapelekwa Ukala maana k-star amesema amepangwa Ukerewe hajasema kama ni Nansio au Ukala maana anaweza vuka maji akajua ndio amefika mara anaambiwa kuna kisiwa kingine kinaitwa Ukala anavuka kwenda Bwisya. By the way Ukerewe si pabaya sana kama atajituma anaweza akawa na link nzuri tu na Mwanza na Musoma kwa shughuli za kijasiamari, akivuka ferry ya Kisorya anaingia Bunda thena anaamua kwenda Mwanza au musoma kama vipi anakatiza majini mpaka mwanzandg,ucjali,kule mi ndo hme,kisiwa cha wasomi ktk tanzania.yale mambo ya ushirikina hakuna.cha mhmu,fika mapema,au 2taftane ntakpa dtails kamili,na ukikosa pakfkia,utafkia hata kwe2
We mtie moyo tu
mara akifika huko anavuka tena anapelekwa Ukala maana
k-star amesema amepangwa Ukerewe hajasema kama
ni Nansio au Ukala maana anaweza vuka maji akajua ndio amefika mara
anaambiwa kuna kisiwa kingine kinaitwa Ukala anavuka kwenda Bwisya. By
the way Ukerewe si pabaya sana kama atajituma anaweza akawa na link
nzuri tu na Mwanza na Musoma kwa shughuli za kijasiamari, akivuka ferry
ya Kisorya anaingia Bunda thena anaamua kwenda Mwanza au musoma kama
vipi anakatiza majini mpaka mwanza
mbona wenyeji wameniambia siku hizi wanga hakuna tena mkuu ?
Kufika ukerewe unaweza pita kwa meli kutokea mwanza kama 3 to 4 hours unafika, au kwenda mpaka Bunda then Kisoria halafu utavuka kwa pantoni kama 15 minutesmkuu nielekeze hatua kwa hatua mpaka kufika hapo ukerewe. maana nasikia kuna kupitia BUNDA na kuna kupitia MWANZA kwenda moja kwa moja !
Mkuu ni kweli kwamba kuna njia mbili kwenda Ukerewe yaani njia ya Bunda na kupitia Mwanza ila inategemea unatokea wapi, njia ya Bunda ni nzuri kwa wale wanaotokea Musoma, Tarime njia inayotokea Kenya kupitia Sirari na wilaya zote za mkoa wa Mara pamoja na wale wanaotokea Arusha kupitia Karatu, Ngorongoro, Serengeti. Kwani ukifika Bunda inakuchukua kama saa moja mpaka kufika Kisorya then unapanda ferry kwa dakika kama 20 to 30 hivi unaingia Ukerewe (umbali umezidi kidogo pale kigamboni ferry)mkuu nielekeze hatua kwa hatua mpaka kufika hapo ukerewe. maana nasikia kuna kupitia BUNDA na kuna kupitia MWANZA kwenda moja kwa moja !