Jamani ukerewe daaaah !


Maelezo mengine mazuri yanamuandaa kisaikojia ila hapo bold unamtisha mkuu unless kama amesema anatoka wapi? kama anatoka Dar kwa mfano atapanda Bus moja kwa moja mpaka Mwanza au Ndege then anachukua meli anatia timu Ukerewe, na hata kama akipitia hiyo njia ya Nairobi mkitoka wote wewe utashuka Musoma utamwacha kwenye gari baada ya saa 1 anashuka Bunda anachukua gari mpaka Kisorya anavuka kuingia Ukerewe akiamua anapitiliza Mwanza anafanya shoping then anachukua meli mchana anakwenda Ukerewe tena wewe unaweza ukatumia usafiri wa aina nyingi kuliko yeye maana ukifika Musoma inabidi uchukue Hiace mpaka mjini alafu unachukua bodaboda mpaka Mwisenge kati lakini yeye akifika Ukerewe anachukua begi tu kila sehemu panafikika hata kwa miguu.
 

Mimi nilifikiri yangu rahc kumbe ndo hivyo? Unamaanisha nikipanda gari inanitolea tofauti na mjini? My goodness what the hell is my journey? Lakini hata huko kwetu tunapotoka haina maana kuwa ni kuzuri saana. Ni ile mtu hajui aendako. Ila powa tu. Mimi nitatia guu hadi musoma.
 

asante sana mkuu Mungu azidi kukubariki.
 
Kuna meli ya mv. BUTIAMA kama sikosei itakupeleka jiji la Uk. Pako poa tu japo jiandae kisaikolojia kurogwa kuko nje nje ukiwazingua akina yego. Pia mamba wako nje nje hata kwenye maji ya kwenye kikombe anakubeba. Ukara island balaa tupu.
 
Yako ni rahisi inategemea unatokea huvyo usihofu mkuu, kumbe hata Musoma hujafika bado? nilidhani upo Musoma ndio nikaandika hivyo kuonyesha tu kwamba gari si tano na isitoshe mtu akishuka UK hana haja ya kupanda gari zaidi ya kutembea kwa miguu kwani Musoma utapanda daladala. Kama hujafika kimsingi Musoma ni kawaida nilivyosema hivyo nilikuwa namaanisha kwamba stand ya Musoma mjini ipo nje ya mji maeneo ya Bweri kama 5km hivyo kuingia mjini kati lazima upande hiace mpaka mji kati then itategemea unaishi wapi unaweza ukachukua boda (hii ni kawaida tu kama ilivyo Dar unaweza ukashuka Ubungo ukachukua Hiace mpaka labda BUGURUNI alafu ukamalizia na bodaboda hivyo usihofu nilikuwa najaribu kuonyesha haliya kumtia moyo kamanda maana kidogo ulimkatisha tamaa}
 
Kuna meli ya mv. BUTIAMA kama sikosei itakupeleka jiji la Uk. Pako poa tu japo jiandae kisaikolojia kurogwa kuko nje nje ukiwazingua akina yego. Pia mamba wako nje nje hata kwenye maji ya kwenye kikombe anakubeba. Ukara island balaa tupu.

mkuu nafata ushauri wa JODOKI amenena poa sana.
 

Kuna siku nilitoka mwanza nikapitia musoma japo tulienda mwendo hadi pale stendi halafu baadaye tukarudi kuelekea tarime sirari, migori, nairobi, namanga, arusha, moshi. Ila pale stendi ilikuwa kama dakika tano. Sikupasoma kivile. Ila nashukuru kwa maelezo yako kamanda wangu. Nitajitahdi kujipa moyo. Ahsante mkuu.
 
Kumbe ramani unayo tayaari, ukifika stand then unachukua gari mpaka town, kama ilivyokuwa Moshi wakati wanatengeneza stand mpya magari yakitoka Dar wananchi wanashukia Ngangamfumuni then wanachua hiace wanaingia mjini kati
 
wadau
katika sehemu nilizokuwa sifikiri kufanya kazi wala moyoni mwangu
hakumo ni ukerewe. Hatimaye leo nimepangiwa niende huko. All in all only
God knows it.

Mkuu na ujue sio Wilayani bali vijiji vya Ukerewe, kila la heri na kazi njema.
 
Mkuu na ujue sio Wilayani bali vijiji vya Ukerewe, kila la heri na kazi njema.

maisha ni popote mkuu. Iwe mjini au kijijini yote ni sawa kabisa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…