Jambazi aliyetuibia TV mwaka 1988 nimemuona leo akiwa mzee

Umeanza mbali kumbe ulitaka tu tujue mlikuwa mnamiliki TV (Kideo) miaka ya 80
 
Mwambie bwana, ili naye amalizie maisha yake kwa uchungu na aibu vile vile . Hawanaga maana hao sawa na vibaka
 
Ridhisha moyo wako kwa kumsamehe na kusahau maovu yake aliyowafanyia.....
 
Jambazi na familia yake uliwafahamu, au mlikuwa majirani wakakimbia?
 

Jizi ni shenzi tu hata likizeeka. Nenda kampe madongo yake.
 
Aiseee 1988 mlikua na na tv?? Bibi mkubwa wangu alininua 1995 supra 20" aisee nilijizolea marafiki kedekede duuuu tumetoka mbali sana!!!!
 
Mkuu kwahio unataka ukampe vijembe?
Mwandikie Barua, Nenda Kichwa kichwa Asipokutoa ubongo, Unafika huko Marehemu Baba yako Akulambe na wewe vibao kwa kujitakia kifo,

Kwanza kwa maeneo hayo Si Ajabu Mwane naye ni Mjeda, ana stress za kumuuguza dingi.
Yaani Hapo unacheza Mtoto wa simba au simba mzee.
 
kipindi tv za kwanza ndio zinaingia Tanzania.

Pole kwa kukutana na hayo..

1988 sio kweli.. kwamba ndizwo za kwanza nchini.. kuna tulimiliki miaka kabla.. na tulibadili kwendana na kitokacho.. hata kutumia satellite.. kuchekiki vya nje ya nchi.. betamax..
Yote ni kheriiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…