Jambazi aliyetuibia TV mwaka 1988 nimemuona leo akiwa mzee


True!!

Trauma never ends easily!

Kiasi nikimuona Mzee TAL najiuliza how does he sleep at night? Nahisi ni kama nightmares haziwezi mwacha mpaka mwisho!!

Trauma kills you slowly but surely!
 
Yaani umeibiwa TV 1988 inakuuma mpaka leo 2020 ndio maana upo Chadema,that says it all.

Haki!! People like you sometimes make me question the creator’s choice of creation! (Asthaghafirullah!)

Ila Alhamdulilah siku ya kujitenga pumba na mchele wala haipo mbali!!
 
Maradhi ya figo ni adhabu tosha kwake we fikiria anatakiwa kusafisha figo kwa wiiki mara 3 au 4 kwa masaa 4 anakuwa yupo tu kwenye mashine
 
Eti wazee ni dhahabu [emoji30]
Tukae Tukijua mateja na wahalifu nao wanazeeka [emoji16][emoji16]
 
Hakumdhuru baba ila jiwe fatuma lilivunja mlango likaharibu Sana Mimi nilikuwa mdogo na tv aliyoiiba ilituuma Sana. Mnaokaa mabibojeshini mnaweza kuliona hilo zee semakota ni nyingi.
Kwa hiyo mtoto wa jambazi ni mwanajeshi? Kama ni hivyo nakuonea huruma haki ya nani unajipeleka kwenye mdomo wa Simba! Mimi simo.
 
You are just a stupid teenager who has watched so many movies and thinks its real. Mtu mwenye akili asingeandika hayo ya chini. Angeishia tu kuwa amemwona n.k eti yu re powerful?powerful your ass.dumb boy.

 
Hili povu lazma wajumbe wanahusika.
Habari za leo mkuu?
You are just a stupid teenager who has watched so many movies and thinks its real. Mtu mwenye akili asingeandika hayo ya chini. Angeishia tu kuwa amemwona n.k eti yu re powerful?powerful your ass.dumb boy.
 
Kwan aliiba mkamtambua ila hamkumuona had umekuja kumuona Leo?
 
ameshasema ni enzi hizo TV zinaingia Tz sass huwezi jua ni trauma kiasi gani alimsababishia. Imagine mtaa mzima wanakuja kwenu kuangalia Tv yaani unakuwa sweetheart wa mtaa halafu ghafla mtu anawatoa kwenye hiyo spotlight. Lazma ikuume [emoji16]

Yaan wewe [emoji23][emoji23]🤣🤣
 
Hebu fafanua namna huyo 'jambazi' alivyopora hiyo tv...
 
Duuh, miaka mingi sana hiyo, hadi umeshajua kuandika kiingereza fasaha!
Kama limevimba figo liache tu, labda limeisha tubu dhambi zake. Samehe 7*70!
 
Umesema ulikuwa na cheo kikubwa serikalini...au?
 


Tanzania watu Wana TV miaka na miaka..
Tvz ni ni kituo cha miaka mingi sana
Watu wa Dar walikuwa wanatazama tvz miaka mingi ...

ITV sio TV station ya kwanza Tanzania wala sio ya pili..

CTN ndo ya kwanza Tanzania bara around 1992
Mwaka wengi wa Dar tumemtazama
Rashid Yekini anachukua kombe la afrika na Nigeria kupitia CTN..1994 January

Baadae ikaja Dtv ..
Tumetazama premier liegue na Dtv
Enzi hizo Stan collymore ndo top striker Liverpool
ITV ilikuja 1994
 
1988 nakumbuka kuangalia michezo ya Olympic ya Korea kwenye kichupa.

Sasa mtu angekikwapua kichupa kile ningemlaani sana.

Msamehe tu uende zako. Hiyo adhabu aliyoipata inamtosha.

Adhabu aliyoipata toka kwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…