KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
ukakumbuka kuvua viatu
kweli umestaarabika
ukakumbuka kuvua viatu
kweli umestaarabika
ukakumbuka kuvua viatu
kweli umestaarabika
Hiki kibastola kama kile cha kuchezea mbona kinachorusha maji chwaa chwaa!!
Huyo dada ana smile ama!!
Hapo wamechemshaa
MweNye nyumba akuruhusu
viatu vingepiga kelele!
Hahahahaaa jini anaogopa magari wakati wa kuvuka barabara..
Wasanii wa BongoMovie bado wana safari ndefu sana....