NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,952
- 1,181
Nyumba za kukod kushoot, mwenye nyumba haruhusu viatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukakumbuka kuvua viatu
kweli umestaarabika
Hiki kibastola kama kile cha kuchezea mbona kinachorusha maji chwaa chwaa!!
yale yale ya jini linavuka barabara linachek kushoto, kulia then linavuka
Hahahahah hii kali.
Hahahaaa, safi sana Mleta Uzi.
sijui labda ni system mpya ya ujambazi kwenye movie zetu?
eti jamani, ushawahi ona jambazi kaingilia nyumba ya mtu, huku viatu kavulia mlangoni?
hii ni picha aliyopost irene uwoya kwa instagram..
watch out!
View attachment 116135 jambazi liko mpeku meeen!
Hapo wanacheza ulimchezo wa kujificha na kumtafuta enzi za utoto sio move maaana naona kama wana fanya mapera mapera tu hapooo angejua asinge ipost kabisa ha ha ha ha ha ha bongo move watasugua sana
Jambazi Mstaarabusijui labda ni system mpya ya ujambazi kwenye movie zetu?
eti jamani, ushawahi ona jambazi kaingilia nyumba ya mtu, huku viatu kavulia mlangoni?
hii ni picha aliyopost irene uwoya kwa instagram..
watch out!
View attachment 116135 jambazi liko mpeku meeen!