Jambazi Mstaarabu

Jambazi Mstaarabu

Hahahhaah duh kweli majambazi ya sasa ni wastaarabu

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
sijui labda ni system mpya ya ujambazi kwenye movie zetu?

eti jamani, ushawahi ona jambazi kaingilia nyumba ya mtu, huku viatu kavulia mlangoni?

hii ni picha aliyopost irene uwoya kwa instagram..

watch out!
jambazi liko mpeku meeen!

Mkuu umegundua kitu cha msingi sana!! Ukitoa vipaji vya hawa waigizaji wetu lakini wana upeo mdogo sana kuhusu filamu.

Unakuta mtu anarekodi eti yupo peke yake kwake anajiambia "nataka niende mjini lakini ngoja kwanza ninywe maji alafu niondoke" alafu mnaonyeshwa anavyoenda kwenye friji kuchukua maji na kunywa then anatoka anafunga mlango anaenda kwenye gari anaikagua matairi na injini then anapanda gari anaondoka mnaonyeshwa hadi anavyokata kona ya mwisho!!!
 
bongomovie.jpg
 
dah!! kaka umeongea! ingawa na mimi ni mwigizaji bongo, lakini makosa tunayofanya kwa kweli ni mengi mno! tena mengine mpaka watoto wadoooogo wanayagundua, sembuse watu wazima!

.. halafu eti movie hizi ndio zinapelekwa african magic swahili.!!!!

this is totally punkness!!!
 
Hahahhaah duh kweli majambazi ya sasa ni wastaarabu

Sent from my BlackBerry - jamiiforums

hahaaa!!!! au walikubaliana ili baadae wagawane mali?
utasiki .. '' oohh baby, dont hit me down there, take it slowly''... oohhh my!!
 
jambazi kapendeza hivyo....jambazi gani mstaarabu anaenda kuiba anavuwa viatu kama anaingia msikitini.
 
Hapa hamna ustaraabu wala nini,tatizo wako kwenye nyumba ya mtu alafu mwenye nyumba yake"viatu no ndani ya nyumba" thats all!

kama hapo mi director nagoma,

btw, most of our movies are not genuine!
 
Bongo movie hawana mpya, wanakurupuka tu.

point!!!!!!

yani its just your money, camera(s) (halafu unakuta ni moja tu mwanangu!!! mi huwa inaniboa kama nini), camera man, na ma director uchwara weengi! expect punks!
 
Back
Top Bottom