Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Mkuu huwa wanafanya hivyo kama njia ya kuitafuta part2
i hate these guys!!
ndio maana mi huwa nazizimia sana movie na tamthilia za kikorea!
jumong, slave hunter, city hunter na zinginezo!!
huwezi kukutwa character anaoneshwa akiwa kwenye gari akiwa anapoteza tuu muda! unless kuna sababu!