Jambazi Mstaarabu

Aliyewaazima nyumba kufanyia igizo lao aliwaambia wavue viatu wasiharibu marumaru zake.
 
Waende shule wakasomee si kutegemea kipaji tu,vinginevyo wataendelea kufanya nyanyambuu Siku zote.
 
Hahahahah hii kali.

umeona eeh? nahisi mwenye nyumba hataki ichafuliweeeee!!!!

hahaaaaa!!!

kazi tunayo waigizaji!

uigizaji wenyewe hatuigizi uhalisia!!!!.. aaaghh!!

bora nisubiri going bongo niione!
 
Nimecheka sana daaa, naona hapo wamebug kweli kweli
 

Hapo wanacheza ulimchezo wa kujificha na kumtafuta enzi za utoto sio move maaana naona kama wana fanya mapera mapera tu hapooo angejua asinge ipost kabisa ha ha ha ha ha ha bongo move watasugua sana
 
jaman majambazi wa siku hiz ni wastarabu wanaogopa kuchafua nyumba
 
Hapo wanacheza ulimchezo wa kujificha na kumtafuta enzi za utoto sio move maaana naona kama wana fanya mapera mapera tu hapooo angejua asinge ipost kabisa ha ha ha ha ha ha bongo move watasugua sana

Isse iyo ilkua cujambaz labda n kombolea.
 
he he he hee hii picha niliona instagram nikafa kwa cheko sasa jambazi anaenda kuvua viatu kabisa ili asichafue tails za watu
 
Jambazi Mstaarabu
 
labda si jambazi! Wanacheza ka mchezo ka ujambazi.
 
Bongo movie hawana mpya, wanakurupuka tu.
 
Hapa hamna ustaraabu wala nini,tatizo wako kwenye nyumba ya mtu alafu mwenye nyumba yake"viatu no ndani ya nyumba" thats all!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…