mwenye nyumba tuliyoshootiya aligoma kabisa kuingia na viatu dakika za mwishoni so hatukuwa na jinsi.jambazi kapendeza hivyo....jambazi gani mstaarabu anaenda kuiba anavuwa viatu kama anaingia msikitini.
Mkuu umegundua kitu cha msingi sana!! Ukitoa vipaji vya hawa waigizaji wetu lakini wana upeo mdogo sana kuhusu filamu.
Unakuta mtu anarekodi eti yupo peke yake kwake anajiambia "nataka niende mjini lakini ngoja kwanza ninywe maji alafu niondoke" alafu mnaonyeshwa anavyoenda kwenye friji kuchukua maji na kunywa then anatoka anafunga mlango anaenda kwenye gari anaikagua matairi na injini then anapanda gari anaondoka mnaonyeshwa hadi anavyokata kona ya mwisho!!!
Hili Suala La Movie Za Hapa Kwetu Limeku a Likiongelewa Sana Ila Wasanii Wetu Bado Wala Hawataki Kuskia Maoni Ya Watazamaji Zaidi zaidi wanazidi Kujiaibisha Tuuu!! Huo Ndo Ukweli Jamani!!
Af mkiulizwa Ooh Tunataka Bongo Movie Ifike Kimataifa!!
Kweli kabisa, halafu anaangalia kamera
Kweli kabisa, halafu anaangalia kamera
Chuma chakavu uko sahihi kabisa hawa bongo movies na wanaohariri movie zao naona bado wanatakiwa kujifunza zaidi, hata iweje jambazi hawezi kuvamia halafu akavua viatu..Duu! jambazi kaingia pekupeku!
mwenye nyumba tuliyoshootiya aligoma kabisa kuingia na viatu dakika za mwishoni so hatukuwa na jinsi.
ukakumbuka kuvua viatu
kweli umestaarabika