Tatizo la Bongo Movie ni kiburi kutokana na vijisenti kidogo wanavyolipwa na Step Entert. Kiburi chao kimejaa ujuaji wa hatari.Lazima wakubali kukosolewa na wakubali shule (si lazima iwe formal education) ni muhimu.
Waache kusingizia bajeti na vifaa while hata sehemu za kawaida sana wanafanya makosa ya kijinga.Kwa mfano hiyo picha iliyowekwa kwenye hii mada inahitaji bajeti ya kiasi gani huyo mtu kuvaa viatu?:A S-confused1::A S-confused1: