Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Mimi nafikiri ukiacha michongo pia kuna USHIRIKINA unatumika na majambazi, wakikamatwa hawakai rupango muda mrefu wanatoka...sababu hata huku dar wengi wanakamatwa wanaachiwa.
 

Yupo hapo segerea!

Wewe uliwahi kusikia hata kesi yake? jiulize kwa nini
 
nashangaa na lile jambazi linaitwa shetani lilikamatwa kwa mbwembwe saivi lipo mtaani linapeta,linakaa karibu na chuo cha kilimo cha masanja.
 

Du kaka Nicholas punguza jazba kidogo basi, alafu kaka wewe mdengereko? maana huu mwandiko!!!
 
A Achana nae arusha sasahivi ina wenyewe ajaribu aone kama hutasikia alikuwa anaruka kwenye gari la polisi walipomkamata
 
Mfumo wetu wa utoaji Haki unahamaisha uharifu;
1. Polisi na ndugu zao Mahakama kama huna kitu inakula kwako.
2. Kesi hata iwe na ushahidi wa "Watertight" bado mwisho wa siku wingi wa Mpunga ndo uta amua Kesi.
3. Ukisikia Wananchi wenye hasira kali, fahamu kuwa Mama yao ni Polisi na Baba yao ni Mahakama
 
cha kushangaza baada ya Nyari kutoka gerezani aligawa hela, wapumbavu wakampa udiwani..
katika jamii kama hii, tusubiri Yesu ashuke ndio na sisi tupate maendeleo ya kweli.

Duh hii ni zaidi ya Kioja labda ni uzumbukuku
 
Duh hii ni zaidi ya Kioja labda ni uzumbukuku
Jamaa aligawa sana misimbazi...
kama wanavyofanyaga the kijani kugawa misosi,kofia,leso,gari za bure kwenda kwenye mikutano na kuwazawadia wanaohudhuria,fiesta za diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…