Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Mkuu duniani hakuna haki...!!
Haki itapatikana mbinguni pekee

TAYARI HUYO ULIE SEMA MPUMBAVU RIP , KIFO KIBAYA INAVYOSEMEKANA!!
 
Na kweli wamesema mfanyabiashara mkubwa wa madini amekufa. Kumbe alikuwa jambazi ndio nimejua kupitia huu Uzi wa miaka 13 iliyopita
Aisee mie pia , kumbe ni jambazi sugu haswaa issue hapa uko INSTAGRAM, FB, TICK TOK nk hawana taarifa hii wanajua watekaji wako kazini!!! ikizingatiwa alikuwa mshirika wa karibu sema kuna sehemu ameyakanyaga!!!
 
Niliwahi kuona movie flani hivi majambazi sugu waliohukumiwa vifungo vilefu walipewa project maalum (ya kuua watu flani bila kuacha alama) walipewa kazi hiyo na serikali ya nchi hiyo kwa makubaliano maalum kwamba wakiweza kuimaliza kazi vizuri wanaachiwa huru na kufutiwa kesi zao.
Nimesahau jina la hiyo movie ila nikiwaza matukio makubwa ya utekaji na mauaji kwenye hii nchi nakumbuka matukio ya Ile movie.
 

ndo kajiita hivyo jamni😅
The
ndo kajiita hivyo jamni😅
Weee pdiddy....jinsi ulivyomuita🤣🤣🤣🤣 p didy haeleweki mara acheke mara
 
Limekufa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…