Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Jifunze kuandika vizuri mkuu.
Narudia tena kusema ya kwamba majambazi wengi huko kaskazini ni wachaga. Tukianza na Masawe au unataka niwataje wote?
Green usikimbie kwenye mada. Huko mererani ni wafugaji?


 

Mh!! Mkuu unaonekana we" Mndewa" Arusha,maana news unazozitoa za huo mji zimeenda Skonga.
 
@Ngongo Umenikumbusha mbali sana Sadik Mkindi nakumbuka alikuwa anajulikana kwa jina la HANDSOME BOY, jamaa alikuwa anaonekana innocent sana, ulikuwa ukimwangalia haraka haraka unaweza dhani ni mtoto wa mama ila akianzisha balaa zake sasa ndo utagundua jamaa ni shetan.
Alikuja mahakamani enzi hizo nakumbuka aliamua kujitetea kizungu mahakimu wakabaki midomo wazi.

Na Banjo mbona kitambo tu yupo mjini anatembea na PREMIO ana issue yeyote ila kwa sasa amepata kibarua Afgem ndo kidogo ameanza kufaa chain za gold tena.

 
njema kwa gari na simu? banjoo hana lolote labda vi room vyake vya kupangisha huko sanawari,anaganga njaa tu kama sie wengine hapa.
Nyamayao Ni kweli chalii yupo Afgem sasa hivi kwa nguvu ya Nyari,
Hujamuona siku nyingi nini Baa yake ni Sakina Bar kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Nyamayao Ni kweli chalii yupo Afgem sasa hivi kwa nguvu ya Nyari,
Hujamuona siku nyingi nini Baa yake ni Sakina Bar kwa sasa.

afgem? tanzanite one! yupo ya porini? japo sina hakika na hizi habari, pamoja na nyari kama amemsaidia bado banjoo kuingia pale ingekuwa ngumu sana sana na naelewa kwanini, may be.
 
akili mavi kabisaa, nayo hiyo ni sifa? mwehu mkubwa wewe!!!


cc Nicholas
nani kasema hiyo ni sifa?? nimesema hili kundi la wachaga linajulikana kwann halifanyiwi kazi??
nashindwaga kuelewa hvi mnapokuwa mnasoma koment huwa mnajaribu kusoma uzi wote ama ka koment kamoja tu??
wewe ndio mwenye akili mavi.................wachaga ni wengi ni wezi serikali inawalea tuu wachomwe moto wote wakianza na alex masawe
 
Usijali. Serikali yako inasaidiwa na street justice. Mbaya ni pale wasiomo wanapojumuishwa
street justice haiko fair, huadabisha hata wale asiokuwamo.
nafikiri serikali iache masiara ianze kuwawajibisha hawa wezi kiukweli, najiulizaga sana hivi mtu kama alex massawe anachwa aish kwasababu gani?? ama mtu kama huyu banjoo??
mwenzie aliyekuwa anaitwa SABA aliuwawagwa na wananchi baada ya serikali kushindwa kumtia mbaroni
 

banjoo sio mchaga! wezi hauna uchaga wala upare, kama mwizi mwizi tu.
 
Hakuwa na roho ya huruma/kipindi cha uhai wake nyuma/Nyokaa....ibilisi alimsukuma/Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina! By CHINDOMAN
 

Siyo kweli kabisa. kwa hili Mdau Umepotoka..
Yapo makabila yenye wezi na majambazi zaidi ya Wachaga..
Pia ni dhambi kuhusisha wizi/ujambazi au tabia ya mtu na Kabila..
Dhana yako haina tofauti na ile dhana kuwa Wanawake wa kimachame huua waume zao ili warithi mali..
 
Hakuwa na roho ya huruma/kipindi cha uhai wake nyuma/Nyokaa....ibilisi alimsukuma/Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina! By CHINDOMAN

huyo alikuwa ni nyang'au nyokaa! Hata shetani alikuwa anamuogopa nadhani! Ila ndo vile aliongea na bullets sakina bar!

na banjoo anafata saiv manake kaingia kwenye ungese wa kuwa polisi kidole na kuuza michongo ya manyamera wenzake so lazma wamlambishe mchanga tu kwa u-snitch wake.
 

Hakuna rpc pimbi kama sabas...lipo lipo tu limenunuliwa na akina lema wezi wa magari dunia nzima wanajulikana
 
Paradiso, hiyo itakuwa second generation ya ukoo wa Mkindi. Wengi niliokuwa nawafahamu hawakuwa hivyo. Kuna moja alikuwa umri wangu, ambae alijiuwa jela kwa kujirusha kwenye mtaro wa maji. Huu ukoo ni balaa.

samahani kaka kwani wewe umri wako ukoje?
 
Mkuu Ngongo

Ulivyotoa story za huyu Sadiki kwakweli sijaona umahili wake wa kupanga chochote zaidi ya kumuona ni mtu mwenye wivu na bully (kuonea watu hadi kupelekea kumuua mchumba wake) sana sana ni psycho tu, tena ni mtu wa kuwasikitikia wazazi wake wamemuachia urithi badala ya kuendeleza kama ndugu zetu wahindi au waarabu yeye ni kufuja na kuleta matatizo (bora wale wanaoiba ili kuwasomesha/kuwapendezesha ndugu au familia zao)

Pili jamaa angekuwa ana mipango ya kiakili asingepeleka maiti na kuiacha hospitali kitu ambacho kingekuwa traced kwake, bora angeenda kuizika sehemu (no body no proof of death) kwahio mimi kwa huyu jamaa Sadiki is the most sad story of lost opportunity na hasara kubwa kwa wazazi wake, jamii na ndugu kwa ujumla.., angeendeleza mali za wazazi wake huenda sasa hata angekuwa anasaidia watoto wa mitaani... very very dissapointing and I hope huko alipo anapigishwa kazi ngumu sio kifungo peke yake.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…