Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

Nyie acheni jamani....
Kuna mwanamke nilikuwa nae anaitwa tina,huyo demu alinipenda sana,alikuwa ananisikiliza kwa kila kitu,hata siku moja hakuwahi kunipinga kwa lolote,akili zangu za ujana zilikuwa za kipumbavu sana.
Nikaanza kumpotezea kimya kimya,demu akituma txt sijibu hata moja,nilimuachana kwa sababu ya kijinga eti kisa hakati mauno ninapo mgegeda.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mahusiano kitu cha ajabu sana. Umekutana na wanao kata mauno,af unaanza kumkumbuka ambaye alkuwa hakati mauno, ha ha ha ha ha
 
Nilimnunulia simu ya gharama kwenye birthday yake tulivyokosana nikaichukua kwa lazima, Ile kupekua, nilikutana na ma vedio ya hovyo anatumia majamaa wengine roho iliniuma sana nikatamani ata nisingechukua Ile simu ningemuachia. Hadi leo nikikumbuka natamani hata nimfanyie kitu mbaya
 
Ninavyo visa vingi kwa kweli.

1. Nilimpiga mpz wangu kiasi Cha kumuumiza sababu nilimkuta anaongea na jamaa kwenye Giza. Kumbe n kaka ake mtoto wa mama ake mkubwa. Ana alama mdomoni mpaka leo
Aliponiambia sikutaka kumuamini. Baadae kuja kugundua ukweli daah inaniuma sana Hadi Leo.
Sasa hivi n rafiki yangu mkubwa, ameolewa na ana watoto watatu.

Ananiambiaga hajawahi kupigwa kama vile ktk maisha yake mpaka sasa.
 
So mtoto wa mama mkubwa alikuwa anaangalia tu wakati dada yake anapigwa na wewe?
 

Khaaaa?!!! Yaani ujana una mambo ya ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…