Jambo gani unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, kwanini?

Kubwa kuliko ni upendo, lets keep on peace&love coz life is too short watu wangu.
 
Nilitaka nimwambie Hitler nini kilimfanya awachukie wayahudi kiasi kile na nini kilimsukuma kuanzisha Vita vya pili vya Dunia na je? Tunayoyasoma kwenye historia kuhusu yeye ni kweli yote au wanamsingizia? Ila Kwa kuwa kashajiua basi siwezi kumuuliza
 
Dah..... nilitaka kumwambia mazer wetu kuwa kuna watu wanamuingiza chaka lakini naogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…