Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni.
Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona kila rangi. Mtu nimekaa tu nyumbani nakatwa pesa zaidi ya Tsh. 11,000 kwa siku?
Huu ni wizi. Tena wizi unafanywa na Serikali, eti Tozo. Nyie ni wezi kama wezi wengine isipokuwa tu mnalindwa muendelee kutuibia. Mashetani kabisa na majini mnatunyonya damu sisi binadamu. Mnapata wapi ujasiri wa kutupora pesa zetu zikiwa bank?
Nyie siyo wanadamu kabisa. Hamna utu, ni majambazi, wezi, wauaji na mafisadi wakubwa.
Pesa nahangaika kutafuta kwa shida then mnaamua tu kuzichukua bank. Nakatwa PAYE, nalipa kodi kila sehemu bado hamjaridhika, nyie wezi wenye laana, hata utu hamna.