DOKEZO Jambo hili inalofanya Serikali ni wizi dhidi ya raia wake maskini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Umejaribu kufuta lakini tarehe na muda umezi ignore. Umewarahisishia kazi kukutafuta.

Having said all that, nakubaliana na wewe 100% I just wish you could have expressed it in a diplomatic manner! But hey, you have done nothing wrong.
Acha kutisha mwenzako KITI MOTO WEWE, kwani kuna kosa gani kulalamikia makato ya KITAPELI ya serikali ya CCM?
 
Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni.

Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona kila rangi. Mtu nimekaa tu nyumbani nakatwa pesa zaidi ya Tsh. 11,000 kwa siku?

Huu ni wizi. Tena wizi unafanywa na Serikali, eti Tozo. Nyie ni wezi kama wezi wengine isipokuwa tu mnalindwa muendelee kutuibia. Mashetani kabisa na majini mnatunyonya damu sisi binadamu. Mnapata wapi ujasiri wa kutupora pesa zetu zikiwa bank?

Nyie siyo wanadamu kabisa. Hamna utu, ni majambazi, wezi, wauaji na mafisadi wakubwa.

Pesa nahangaika kutafuta kwa shida then mnaamua tu kuzichukua bank. Nakatwa PAYE, nalipa kodi kila sehemu bado hamjaridhika, nyie wezi wenye laana, hata utu hamna.

View attachment 2356332
Amia Burundi wewe ulishaambiwa na dr wa uchumi Tz ,the world bank president to be ,
 
Waziri wa fedha mjinga tu. Unawezaje kufanyia kazi wazo ghafi la zungu mtu hana taaluma zaidi ya kujua kufanya siasa za kitanzania. Yeye kafanya ubunifu tu. Ilibidi waziri alifanyie kazi wazo sio kukurupuka kunyang'anya wananchi fedha zao.
Ataomba msamaha mara ngapi. Inafaa ajiuzulu tu.
Kodi zipo kila mahali watu wake wamesamehe wanakata fedha za watu benki. Leo tu tumeona taarifa vitenge malori kwa malori vimekamatwa kigoma vinaingizwa nchini kutoka congo. Tanga na bandari bubu kibao nchini mali zinaingia na kutoka bila kodi.
Serikali imefungua nchi kwa walanguzi na wafanya magendo huku watumishi wake wakibobea kula rushwa. Rest in peace jpm.
 
Hawa jamaa wanazingua, leo wamekata kama buku 4 [emoji3][emoji3]
Nikaingia kucheki statement nakuta tozo ndo wamewithdraw...ikabidi niwe mpole maana nilishaanza kuwapigia.
 
Watanzania lazima tutambue kuwa mafanikio mazuri na maendeleo makubwa yataletwa na sisi wenyewe kwa kuchangia kutoka katika vipato vyetu kwa ajili ya ujenzi wa Taifa letu,mataifa yote yaliyopiga hatua kimaendeleo yalipitia njia hii tunayopita kwa Sasa kufika hapo yalipofika

Lazima tukubali kujibana kidogo, lazima tukubali tupate maumivu kiasi ili tuinue miradi mikubwa itakayotupatia faida kubwa sote kwa pamoja, lazima tukubali kuchangia kiasi ili huduma zisogezwe karibu yetu, lazima Tuwe wazalendo na tuipende nchi yetu

Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani katika dhamira yake njema ya kujenga uchumi wa kumgusa kila mmoja wetu lakini pia kujitegemea wenyewe kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu

Mwisho sote tunafahamu namna mh Rais wetu mpendwa alivyo msikivu, Hivyo palipo na uhitaji wa kufanya maboresho atafanya hivyo kwa kukaa na timu ya wataalamu kufanya tathimini ya wapi palekebishwe na kufanyiwa maboresho
 
Chanzo Cha yote haya,ni yule mhuni original.yeye Aliua upinzani,sasa nani atamtetea mwananchi bungeni.na mama nae tangu afanye uhuni wa 23%hatuna hamu nae
 
Mhuni Ni wewe usiyeelewa kitu, mh Rais wetu amefanya Mambo makubwa Sana katika kutuletea maendeleo sisi watanzania, amesogeza huduma karibu ya mwananchi na kupunguza adha na kero ya kufuata huduma mbali
 
Serikali ya kifisadi imeondoka kwenye kuiba mali za umma sasa wanaiba kutoka kwa wananchi na wanatunga sheria kuhalalisha wizi huo.
Halafu ule ujasiri wa kuwaambia wananchi kuwa asiyetaka kuibiwa ahamie Burundi...wow! the arrogancy is staggering and the impunity is astounding!

Kama vile hiyo haitoshi kamanda aliyeongoza hilo zoezi haramu la kuwaibia wananchi pesa zao bado kakalia kiti...wow! the braggadocio, the audacity of it!
 
Mungu amewaacha na sasa wanaropoka ropoka bila kupima madhara ya kauli zao.
 
Ta
Umejaribu kufuta lakini tarehe na muda umezi ignore. Umewarahisishia kazi kukutafuta.

Having said all that, nakubaliana na wewe 100% I just wish you could have expressed it in a diplomatic manner! But hey, you have done nothing wrong.
Tarehe,mwezi na siku hiyo zimefanyika transaction nyingi sana za namna hiyo. So hilo si tatizo hata jina langu wakitaka naweza kuwapa maana nachosema ni kweli huu ni ujambazi kwa wananchi.
 
Mungu amewaacha na sasa wanaropoka ropoka bila kupima madhara ya kauli zao.
Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi na kwa hakika hii ni zaidi ya kuwatukana wananchi!
Unamwibia mwananchi halafu akigundua na kulalamika unaunda timu ya walaji kutafuta njia ya kumwibia zaidi mwananchi huyo bila yeye kutambua kirahisi unavyomwibia.
 
Hawa wapinzani nao wamejificha wapi?
Ama ndio wana tonge mdomoni hawawezi sema?
 
Zimekuwa drawn na nani? 😜😜
kwani hujui?unabatiza nini kama hujui kubatiza.zimechukuliwa na serikali kama tozo.nyie ndo mnaotumaliza katika nchi.ndo mnaodumaza uchumi wa mwananchi maskini kwa kuwanyang'anya pesa zao.time will tell.
 
Back
Top Bottom