Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

Litokee tu tupo tayari kulipokea hilo jambo maana maisha ya mtanzania hayajawai kuwa bora
Huyu mama kila mahala TOZO halafu hela wanazokusanya hatuoni maendeleo yoyote ; isipokuwa genge lake kununua ma V8 yanayokunywa mafuta na kuwafilisi wanannchi!
Seirkali ya Samia imefilisika kiasi cha kutumia fedha za MIRATHI za marehemu!! Ni muda wa karibu miezi sita sasa BOT hawajatoa cheki za mirathi ya watu kwa kisingizio kuwa Serikali imezitumia!! Shame, hii haijawahi kutokea.
 
Mama hana baya, hajawahi kuua mtu, ni makosa tu yakibinadamu...kwaiyo ni ngumu sana kwa hayo maombi yako kumpata!

Anaua watu kwa kulea ufisadi katika Serikali yake!! Ufisadi ndio unamfanya awatoze kodi masikini katika kila nyanja ya maisha yao!! Wananchi wanateseka sana kwani maisha ni magumu lakini wao hawayaoni kwavile wana fungue za kihenge chetu!
 
Moja ya sifa kubwa wa usability wa uwongo ni kutotaja muda maalum na kusema kwa mafumbo ili likitokea lolote aseme ni hili
 
Moja ya sifa kubwa wa usability wa uwongo ni kutotaja muda maalum na kusema kwa mafumbo ili likitokea lolote aseme ni hili
Naunga mkono hoja. Watu wanajua kucheza na hisia za watu
 
Kuna maswali huwa najiuliza, ile mikopo ya kila siku inakwenda wapi? Maana shughuli za maendeleo anakamuliwa mnyonge kupitia tozo.

Tozo nazo zinakwenda wapi? Maana shughuli kubwa za maendeleo sizioni.

Pesa za misaada zinakwenda wapi? Mfano za Covid tuliambiwa zinajenga madarasa, cha ajabu ni kadarasa kamoja kamoja halafu pesa inatolewa flat rate

Yaani kama darasa moja kila shule itatolewa 20M nchi nzima bila kujali hii shule iko Dar na ile iko Nanjilinji. Upatikanaji wa malighafi unatofautiana.

Niliongea na mwalimu mkuu mmoja jinsi alivyofanikisha madarasa kujengwa mpaka nikamuonea huruma maana asipofanikisha kibarua kiko rehani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let us pray
 
Wengi wanajua na wengi wanaomba
Hii nchi Ina watu wanaiombea mno tena wanaishi low profile life.

Bila hivyo kusingekuwa hivi
 
CCM ndio tatizo kubwa nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…