Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
Amen.Tumeuwona mkono wako tena Mungu. Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen.Tumeuwona mkono wako tena Mungu. Asante
Muda unaenda kwa kazi kama ingekuwa uwezo wangu ningesema sasa tukeshe kwa maana nyakati zinakuja watanzania tutamuhitaji Mungu sana. Lipo jambo linakuja na wenye Siri wanajuwa hili🤐 no waySitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.
Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.
Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
Haya utajijibu mwenyeweMganga wa kienyeji naona Una bahatisha bahatisha kama kawaida wazee wa shiriki
Is everything ok???Muda unaenda kwa kazi kama ingekuwa uwezo wangu ningesema sasa tukeshe kwa maana nyakati zinakuja watanzania tutamuhitaji Mungu sana. Lipo jambo linakuja na wenye Siri wanajuwa hili🤐 no way
We mpiga ramli huna lolote!!Muda unaenda kwa kazi kama ingekuwa uwezo wangu ningesema sasa tukeshe kwa maana nyakati zinakuja watanzania tutamuhitaji Mungu sana. Lipo jambo linakuja na wenye Siri wanajuwa hili🤐 no way
Hata Mimi nimeona tena jambo kubwa sanaa tena ngazi ya juu kabisa linaenda kutokea tumuombe Mungu,, atupe amani na aidumishe kwa Tz aondoe Roho ya Mauti kabisa.Muda unaenda kwa kazi kama ingekuwa uwezo wangu ningesema sasa tukeshe kwa maana nyakati zinakuja watanzania tutamuhitaji Mungu sana. Lipo jambo linakuja na wenye Siri wanajuwa hili🤐 no way
Omba sana mtanzania huna pa kukimbilia mabaya yakiikumba Nchi.Lolote na litokee nchi ibakie salama.
Omba sana mtanzania huna pa kukimbilia mabaya yakiikumba Nchi.
Majirani wanaimezea mate Nchi yetu nzuri.
Na nchi kuuzwa kupitia mkataba wa bandari!Mafuta kupanda bei
Natamani tungekuwa na jeshi km la Niger au Mali au Bukinafaso wazalendo na taifa lao na wanasimamia viapo vyao vya kulinda rasilimali zao sio hawa wetu wa DokezoMuda unaenda kwa kazi kama ingekuwa uwezo wangu ningesema sasa tukeshe kwa maana nyakati zinakuja watanzania tutamuhitaji Mungu sana. Lipo jambo linakuja na wenye Siri wanajuwa hili🤐 no way
Nalije tu binadamu anapokabiliana na jambo gumu uwezo wake wa kufikiri huongezekaSitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.
Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.
Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.
Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
Amen amenNyie!!!
Sio vizuri kumkejeli mjoli wa Bwana!
Ngoja nimsindikize na andiko mjarabu kutoka maktaba!
Nyanza 1:10-35
"Ndipo nitakapokuhuluku ewe mwezi January,Nitapukutisha majani ya zamani na kuchipua mapya katika nchi ya ziwa nyanza niipendayo!!
"Ndipo nitamimina hasira yangu ya kisasi KWA hao waliomwaga damu ya mtakatifu wangu mjoli mwaminifu na Musa wa ziwa nyanza aliyekuwa akitumika kitalani,ndipo watesi watakapolia na kusaga meno na misiba yao itakuwa mikuu na kutikisa kuta za kitala"!
"Na hapo nitakapochipua majani mapya mabichi Baada ya kuyapukutisha chakavu,ndipo majani Haya mapya yatakapotamalaki na kushika hatamu!ndipo watakatifu wangu Wana wa kiroho changu watakapo shangilia Sana na kusema hosana ndiwe mbarikiwa""!
Maoni huru na andiko Huru la mlipa kodi hili kutokana na Duru zinavyotanabaisha humu jamvini!
Tumia AkiliKuna mtu anaitwa magamba matatu usimsahahu nae