Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
inategemea upo upande gani.Ule wa Ben haukuwa unabii. Mashetani yalikuwa tayari yamepanga kumwua, kabla ya kumwua wakajifanya wanatabiri.
Hata katika haya, si ajabu wamepanga uovu fulani, halafu wanajifanya manabii, lakini kwa kuwa Mungu wetu husimama na wema, waliyoyapanga na kujifanya wanatabiri dhidi ya wengine, watakuwa kama Yahaya, wanajitabiria wao wenyewe.