Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa.

Kama ni Mkristo au muhisilam au mpagani unashauriwa kusali. Hakuna jambo linaweza kutokea ndani ya Taifa Mungu asizungumze na watu ndani ya Taifa. Wapo watu wanajuwa kile chaweza kutokea wapo wanatembea na siri mioyoni ila mara zote haijawahi kuwa kawaida kiongozi kufia madarakani. Hayati Magufuli amelala ila cheche na mshindo wakifo chake ni mambo yatalitesa Taifa na chama kwa muda mrefu.

Wengi hatujuwi wengi tumelala japo wapo watu hawalali mpaka hali itakuwa shwari. Ndio maana kwa wale tuna Dhani au tunafikiri Magufuli alikuwa mbaya mwisho tutafunga midomo na kulilia vyumbani Mungu atusamehe.

Mungu wangu Tukumbuke Watanzania tulio ktk hali dhaifu na tulio choka maumivu yetu sio juu ya kutawala tunataka mkate na chai tupote njaa zetu wao wanataka madaraka ila sisi tuna njaa. Baba tuhurumie tuhurumie Watanzania tumekosa tena tumekosa sana. End
Ukiwa Muislam au Mkristo au dini yete hakuna kulala hapa ni prayer mpaka kieleweke. Nasema hakuna kulala mpaka kieleweke Mungu atajibu kwa namma yakutisha
 
Ukiwa Muislam au Mkristo au dini yete hakuna kulala hapa ni prayer mpaka kieleweke. Nasema hakuna kulala mpaka kieleweke Mungu atajibu kwa namma yakutisha
Tupo pamoja Mimi nipo na tasbihi yangu
 
Ukiwa Muislam au Mkristo au dini yete hakuna kulala hapa ni prayer mpaka kieleweke. Nasema hakuna kulala mpaka kieleweke Mungu atajibu kwa namma yakutisha
Kwa Kweli Mungu aingilie kati,

Nimemsikia sa100 anajibu kirahisi tu kuwa Serikali haifanyi biashara, ni sekta binafsi,

Eee Mwenyezi Mungu tafadhali ingilia kati,

Wao wanajivunia mapanga na mishale na ulinzi waliojizungushia,

Tunusuru na jambo hiki baya lisitokee.
 
Serkali ya Tanzania haifanyi biashara sawa lakin serikali ya Dubai inafanya biashara na Bandar zetu huyu mama huyu
 
Serkali ya Tanzania haifanyi biashara sawa lakin serikali ya Dubai inafanya biashara na Bandar zetu huyu mama huyu
Halafu anavyokausha kana kwamba hasikii mtetemo na mzizimo wa Nchi!!!!

Nini kinaendelea, sijui,

Mungu ajua,

Atuondolee Aibu na fedheha hii Kwa Taifa letu.
 
TumainiEl Mkuu hizi taarifa unazipatagaje?
Kama ni ndoto, naomba kujua huwa unaelekeza wapi kichwa wakati wa kulala ili na mimi nianze kuelekeza huko?!
Natamani na mimi pia nianze kuota ndoto za kweli
 
Ukiwa Muislam au Mkristo au dini yete hakuna kulala hapa ni prayer mpaka kieleweke. Nasema hakuna kulala mpaka kieleweke Mungu atajibu kwa namma yakutisha
Sala na maombi ndiyo yalisaidia kumuondoa jiwe. Lkn kwa uongozi huu wa watu sahau. Maana hata malaika wa mbinguni wanaufurahia
 
Lipi jipya?
Abdul Sykes kasonga
Nyerere kasonga
Mkapa kasonga
jiwe kasonga
karume kasonga
kombo kasonga
Kambona kasonga
KK kasonga
Malapa kasonga

Vimbunga vinasonga.
Vipindupindu vinasonga
Corona kasonga

Mtu mzima hatishiwi nyau.

Na wote tutasonga, kuna kipi kipya chini ya hili jua?
 
Na kusonga wala sio adhabu.
 
“We had sold our death to somebody at the door for the sum of £70:18:6d and lent our fear to somebody at the door as well on interest of £3:10:0d per month, so we did not care about death and we did not fear anymore”(Amos Tutuola: The Palm Wine Drinkard).
 
Back
Top Bottom