2023 ni Mwaka wa uamsho.
Sheria zitaingia Kanisani Kutoka Watawala, zitapita nyakati ngumu kiasi.
NURU kuu itokayo juu itamulika na mataifa watakuja NYIKANI wakifurahi.
Mtawala ataisikia sauti yake BWANA pekee, hatauliza hatma kupitia Waganga na wachawi au Ramli, atauliza na kujibiwa na aliye Juu.
Mtawala atatawala na pembeni atasimama MWONAJI, NABII Kutoka Kwa BWANA aliye Juu na atamwelekeza Mfalme namna ya kuchunga watu wake.
Maziwa na Asali vitanyweka hapa NYIKANI. Wana wa Uasi, Wana ghasia watapondwa pondwa VICHWA.
Illuminati wamenyanganywa utawala juu ya Taifa lililochaguliwa Tanzania.
Umebarikiwa Tanzania yangu nzuri.
Aamen.