Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

Mungu wa miujiza Mungu wa baba zetu Ibrahim, Isaac and Jacob tunakuomba utupitishe salama Fanya maamuzi Wewe na dam isimwagike ktk hili Taifa kwa uchu wa madaraka na tamaa za uongozi. Mungu mapenz Yako yatimie na Wala sio mapenz ya wanadam. Tumepaka dam ya mwana kondoo ktk malango yetu ili malaika wako atakapo pita usiku mzito tukaziponye roho zetu na familia zetu.
Naliombe jeshi letu tukufu la Tanzania naviombea vyombo vya ulinzi na usalama wakati baragumu inapigwa kwa Taifa la Tanzania kama ishara mpya Eee Mungu wape utiisho na utiii kuisikia sauti Yako Mungu maana sauti Yako ni sauti ya mwanadam. Dam ya watanzania haitopata nafasi mbele ya viumbe visivyo onekana viumbe vinavyopenda dam Mungu uta amua kwa upanga na utiisho taifa hili ulilo mpa Nyerere kuwa chini ya Yako ama chini ya viumbe vinapemda dam. Kwa dam Yako pale msalabani liponye Taifa Dunia na viumbe vya baharini na visivyo onekana milina na watanzania wakiri upo Mungu. Mungu shusha nguvu na uwezo wa ajabu juu ya magemedari wa vita wa Taifa hili wazee na mashujaa wa Taifa hili Wazee wetu tukufu Julius Kambarage Nyerere na Wote walio lala waamshe wake kutenda hali kisha warudi kupumzika. Amen
 
Mungu usiache dam ikameagika Mungu nataka Taifa lijuwe upo Mungu na kamwe Taifa hili haliwezi kuwa chini ya familia ama kikundi cha watu bali kwa kila mtanzania mwenye mapenz meme. Mungu usiposhuka wakakuona mchana kweupe hatutoheshimiana na dam itazidi kumwagika dam zisizo na hatia.. Mungu tenda neno in Jesus name
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=acvCZoYMA4M
 
πŸ‘†πŸΌπŸ‘†πŸΌ
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=9DygGAnmxUs
 
Huwitaji jicho la nnekuijuwa hali ya nchi. Pray for nation
 
From 2023 Today is 2025 unaweza jadili peke yako
 

View: https://www.instagram.com/reel/DMSoCqZqiyM/?igsh=eGlva2J1cngxMnpr
 
The heaven will open for Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ™ we pray for our hero. Tunaombea vikosi maalumu na majasusi imara walio apa kuilinda Tanzania kwa dam na nyama zao,, tuna liombea jeshi letu tukufu ktk east Afrika jeshi hili la wana wa Nyerere eee Mungu liongoze ktk kipindi hiki, tunawaombea wakuu waulinzi na usalama ktk kila idara wenye uzalendo na hili taifa Baba wakumbuke wainue.. tunawaombea wazee wetu mliobaki nakusimamia haki haki na umoja wa hili Taifa Mungu awape umri mrefu wenye nguvu na maisha marefu mmethibitisha uwepo wenu ndio nguvu yetu. We love you 😍
 
Kwan kuna nini leoπŸ˜ƒ
 
REFORMS are inevitable.✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…