matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #21
Kumbuka alikuwa anamjaribu. Kujaribu mtu unajisemea chochote ili upate lengo lako. Pili Shetani na Yesu wanajuana sana kuliko sisi. Maana Yeye ndiye aliyemuumba. Pia kumbuka shetani mwongomwongo.Biblia inatuambia kuwa ULIMWENGU NA VIUJAZAVYO NI MALI YA MUNGU
Kwenye Bible hiyohiyo Shetani alimwambia Yesu, ukinipigia magoti na kuniabudu nakupa milki zote za ulimwengu! Alipata wapi ujasiri huo
Kwanini watu wanaoonekana kuwa karibu sana na Mungu ni masikini? Na matajiri wengi wanasemekana kutumia nguvu za Giza?
Kwa nini watu wa Mungu wanaonekana masikini. Ni kwa sababu wanapenda. Na kwa sababu hawajui na hawataki kujua hili. Focus yao kubwa ni utajiri ujao ambayo iko sahihi. Ila hata huu wakiutaka watamiliki na ule mwingine wataupata.
Ibrahimu aliutaka akamiliki na hakuna aliyemgusa na hakuna maskini mchamungu mwenye imani kama ya mcha Mungu tajiri Ibrahim