Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

Teh teh jambo TV
Naona msg sent

Ova
 
Tunamshuku Rais Samia leo joto limepungua kidogo, bila yeye tungekuwa tunababuka kwa joto
 
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na upatikanaji wa hewa safi katika fukwe zote za bahari.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi hao wamesema toka ameingia madarakani kiasi cha hewa ya oksijeni kimeongezeka mara dufu ukilinganisha na awamu zilizopita.

β€œWatu wengi sana ikiwamo mimi walishuhudia upungufu mkubwa wa hewa ya oksjeni katika "atmosphere*, ambayo kwa kiasi kikubwa ilichangiwa na vyama vya upinzani hasa CHADEMA, lakini kutokana jitahada za rais kupitia falsafa yake ya 4Rs kila kitu kimekuwa sawa” Amezungumza Lucas Mwashamba mkazi wa Mbozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…