Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha


Huyu LOFA anasema hatuwezi kuheshimiana hadi tumwage damu. Ndiyo maana Mzee Ben aliwaita malofa na wapumbavu,
Sijui anaandika tu bila fikilio, haya mwaga hiyo damu kama wanaume kweli, Ukuta mlishindwa maandamano ya fesibuku mmeshindwa alafu unaongea kumwaga damu.

Hili taifa tulikuwa tunataka maeendeleo tu na si siasa hata Chadema walikuwa wakihubili maendeleo ya nchi yetu tulianza kuwaamini tukashangaa baadaye wanapinga kilakitu hata Elimu bule ambayo ilikuwa sera yao wanaipinga.

Naomba vyombo vya usalama vimkamate huyu jamaa aunganishwe na akina Freeman mboye ktk kesi yao maana Mboe alisema lazima wafe watu 100 au 200 sasa yupo ktk kesi hili apate kujifunza.
 
Wadai kinachostahili kwa njia ya VITA??? Hakuna namna nyingine ya kutafuta haki bila machafuko???
Ndiyo.Hata ugaidi ni matokeo ya ukandamizaji wa tabaka fulani la watu ndani ya jamii.Leo mpinzani anaonekana ni raia wa daraja la pili ndani ya nchi yake.Njia halali ya kuonyesha kutoridhika na mfumo ni kupitia uchaguzi,nao umegubikwa na dhulma.Sasa nini kimebakia zaidi ya Violence in whatever form?
 
mimi nadhan hili ndo litakua solution,

nchi zenye vita sio kwamba hawapendi amani ni kutokana na watu kuchoka uonevu!!

bora vita tu itokee.
Mkuu vita unaijua au unaisikia tu kwa wenzako?? Haya mambo siyo ya kushabikia shabikia tu kama mpira vile. Ukitaka kuijua vita au harufu ya vita hebu safiri mpaka Syria ukaone kinachotokea kisha ndio utajua vita ni nini.

Mimi naamini kuna namna zingine za kupata solution kwenye mitafaruku lakini siyo vita, vita iacheni tu kwa majirani lakini siyo hapa kwetu.
 
Suala la muda tu.Madaraka hulevya sana.
 
Mkuu hakuna furaha Kama kufa, hebu fikiria kama ungekuwa umekufa ungekuwa unasumbuka humu jamii forum.
 
Kwa hiyo wewe unataka kufanya UGAIDI ndani ya nchi hii kwa kisingizio cha kudai haki??
 

hebu leta mchanganuo kwa uelewa wako mdogo nn kifanyike?
 


Ni wapi nimetaja neno ,,kabila”? Wewe ndo unayeleta ,,ukabila” kwani ndiye ulitetaja hilo neno!
 
nipe sababu za msingi!!
Machafuko ni mabaya, tutakimbiakimbia hovyo tuache nyumba, watoto, wazee wetu, wengine tunafamilia, tusiombee hayo yatokee, kikubwa tuidai katiba katiba mpya basi.
 
Kwa hiyo wewe unataka kufanya UGAIDI ndani ya nchi hii kwa kisingizio cha kudai haki??
Call it whatever you like.Hata Mandela aliitwa Gaidi na Makaburu na ANC ilikuwa ipo kundi moja na Alkaida nchini Marekani.Sisi tuliita Anc chama cha Ukombozi na Mandela mpigania haki.
 
Machafuko ni mabaya, tutakimbiakimbia hovyo tuache nyumba, watoto, wazee wetu, wengine tunafamilia, tusiombee hayo yatokee, kikubwa tuidai katiba katiba mpya basi.

katiba ndo kitu gani ww !!!
sheria tu zimeshindwa kufatwa itakua katiba??
katiba ni maandishi tu mkuu!!!

tunaweza kupata katiba na isifuatwe vile vile
we unasema nn alifu,, sisi cha msingi ni kudeal na hawa viongozi mana tunaishi nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…