Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

Mkuu nani kasema njia zote za "kidemokrasia" zimeshindikana? Mimi naamini njia za halali za Kidemokrasia hazijashindikana bado. Tatizo ni CHADEMA wenyewe, kila uchaguzi wakishindwa wanakuja na visingizio kuwa "wamehujumiwa", hata siku moja hawajawahi kukubali kushindwa kistaarabu.

Suluhisho ni CHADEMA wakae chini wajitafakari upya na siasa zao, Watanzania wamechoka siasa za matukio, sasa hivi wanataka maendeleo na hayo wanaona kwa macho yao jinsi Rais wao anavyojitahidi kuwaletea maendeleo. Ndiyo maana kila uchaguzi wa marudio unapofanyika Watanzania wanachagua CCM sababu imewahakikishia maendeleo wanayotaka.

Sasa ili CHADEMA waweze kushinda kwenye chaguzi zijazo na wao waje na SERA na MIKAKATI ya KIMAENDELEO itakayowavutia Watanzania hata waweze kuwachagua na siyo kubakia kulia lia tu na kusema wameibiwa kura.
 
Mkuu,
Kwa nini unamshutumu yeye bila ya kuangalia ni nini hasa chanzo cha uzi wake? Kwa nini ujifanye kipofu wa kutokuona kilichompelekea kuandika haya.... si angalau yeye mmoja kaandika unajuwa wangapi tayari wanafikiria kuliko haya? Matanyanyasa watu mpaka lini?

Mimi nimuongezee moja ambalo mkuu Mkiki amelisahau ni 'Kila mbunge atakaechaguliwa na upinzani halafu akatusaliti agomewe kwa kila hali' Kwa mfano raia wanaoishi nae jimboni wamtenge kwa kila hali.....
Ni lazima ifike mahali tuseme basi!!!!

Amani hupatikana automatically ikiwa haki itakuwepo!!
 
Iwapo chadema itashinikiza tupigane sisi kwa sisi Chadema kitafutiwai usajili.(which means ruzuku kwishaa)

Pili kamata kamata kila kijiwe itaanza ambayo itaambatana kipigo cha hataree!.
Wakiwamo viongozi wahamasishaji Lema and the likes.

Tatu nchi itatulia tulii hakuna bughdha wala mambo ya pipoz pawa.

Nne Kitasajiliwa chama kipya na watu wa kitengo ambacho kitakuja kuziba ombwe.
Kinaweza kikaitwa Chama Cha Maendeleo na Demokrasia Chamade kwa kifupi.
 
Yule Demu wa Marekani alisema, kama Wadanganyika wataogopa kuingia barabarani tarehe ile , basi Jiwe lingepata imani kuwa haliwezekaniki, na baada ya hapo lingefanya kila aina ya mambo ya ajabu ajabu. Leo yanatimia, haujapita hata mwaka yanaonekana wazi!
 

maendelea gani ?? kwann ccm watumie polisi katika uchaguzi?? kwann ccm wanunue wapinzani? kwann ccm waue wapinzani??

kwann itumike nguvu nyingi kweny suala la uchaguzi??
 
rubish....
 
katiba ndo kitu gani ww !!!
sheria tu zimeshindwa kufatwa itakua katiba??
katiba ni maandishi tu mkuu!!!

tunaweza kupata katiba na isifuatwe vile vile
we unasema nn alifu,, sisi cha msingi ni kudeal na hawa viongozi mana tunaishi nao
Zipigwe hata kwa mwaka mmoja.Wapo tutakaopoteza uhai.Ikiwa walikuwa upande wa wakandamizaji ni wasaliti wa nchi.Wakiwa upande wa Wananchi ni mashujaa na mashujaa ambao historia itawaenzi milele.Hakika kutakuwa na mabadiliko baada ya kuzipiga kavukavu.
 
Afadhali yatokee kuliko ujinga na upuuzi unaofanywa na ccm yenu
 
Hovyoo mijitu mingine bwana
 
Siyo lazima niwepo mie.Je Mkwawa,Mirambo,Kimweri,Bushiri,Kinjekitile waliopambana na mkoloni walikuwepo wakati wa Uhuru?.Askari wanaoenda vitani nani mwenye uhakika wa kurudi hai?
Hao uliowataja walipata faida gani baada ya kupigana vita ambayo hawakushinda? Mfano mzuri ni Mkwawa aliishia kufa, sasa alipata faida gani maana kama ni kutawala, wakoloni walishinda na kutawala.

Hata wewe ukianza vita na CCM kamwe huwezi ukashinda, utaishia kufa na CCM itaendelea kutawala.
 
Ushindi wao ulipatikana kwa kazi kumaliziwa na Mwalimu kumtimua mkoloni mweupe.Bahati mbaya sana akaja mkoloni mweusi.Sio lazima mie,hata wajukuu zangu na majirani zangu inatosha pia wakija faidi matunda ya ushujaa wangu.
 
Kaka kama tume ya uchaguzi ni hii ya ccm cdm hata wafanye nini hawawezi kushinda uchaguzi ujao
 
Mimi nimuongezee moja ambalo mkuu Mkiki amelisahau ni 'Kila mbunge atakaechaguliwa na upinzani halafu akatusaliti agomewe kwa kila hali' Kwa mfano raia wanaoishi nae jimboni wamtenge kwa kila hali.....
Ni lazima ifike mahali tuseme basi!!!!
Mkuu Watanzania ndiyo wanaopiga kura na wao ndiyo wanaamua nani wamchague. Hata ukisema watu wamtenge mbunge anayehama chama, watamtenga vipi wakati wanakubaliana naye?? Nasema wanakubaliana naye maana hata uchaguzi ukirudiwa, yule anayehamia CCM ndiye anayeshinda, hiyo ni kilelezo tosha kuwa wananchi wa jimboni kwake wanakubaliana naye.

Tatizo ni CHADEMA kutokuwa na SERA za MAENDELEO KWA WANANCHI, na wananchi wamechoka na sera za maandamano kila siku, watu wanataka maendeleo kama anavyofanya Rais wao Magufuli.
 
Hivi Al Shabaab au Boko Haram imesajiliwa na nani?
 
Ushindi wao ulipatikana kwa kazi kumaliziwa na Mwalimu kumtimua mkoloni mweupe.Bahati mbaya sana akaja mkoloni mweusi.Sio lazima mie,hata wajukuu zangu na majirani zangu inatosha pia wakija faidi matunda ya ushujaa wangu.
Endelea kujidanganya mkuu, hii nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Tena inalo jeshi la ulinzi lililo imara kweli kweli, watu kama ninyi mtashughulikiwa na hamtajua nani amewashughulikia.

Fanyeni siasa, mambo ya vita hamuyawezi hata kidogo.
 
Kuna hao wanaohama, nao wanatakiwa wanyofolewe korodani na koleo, wakianza na Mwita. Hakuna atakayerudia tena wala kuwaza kuhama, maana imekua mchezo wa kipumbavu na kuchezea kodi ya watz! Kila siku uchaguzi, tunapotezeana mda bila sababu ya msingi kisa uchaguzi wa marudio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…