Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee

Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika

Ni credit kwa Taifa

Britanicca
Kabla ya kujiamulia apate ushauri kutoka kwa yule Shushushu wa Mbinguni ili ajue salama ilipo.
Hatutaki kupoteza Mtanganyika hata mmoja!
Pole Pole alikuwa mbishi mbishi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…